Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

Hotuba ya PM inagusa engo zote za utawala, wala siyo Spika tu.
Huyu ni kama anataka kutupiga chenga ya mwili tu wakati mpira upo hapo hapo!! Bila shaka mother anajua hilo!! Yeye na yule bosi wa mjengoni ni timu moja!!
 
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,

>>Msikilize kwa makini<<<

===========

Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.

Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?

Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.

Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu. Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.

Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine. Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.

View attachment 2064822
Majaliwa kasema ukweli na anafanya hivyo kuwaambia wale mnaomtaja kwenye ufisadi kila mara humu mara anamuhujumu mama.
Muacheni majaliwa afanye kazi yake

Tena nawachukia wale manao muundia mazengwe.
 
Ila tukubali au tukatae haya Maneno ya majaliwa ni kweli kabisaa!!!! Sikuzote MUNGU anampa amtakaye hata ufanye vipi juhudi haishindani na KUDRA
Hata shetani ana uwezo wa kumpa mtu nafasi ya juu katika nchi, ni vile wengi hawajui hilo au wanajua la wanajifanya kutojua.

N kama ile hadithi ya Father of Nation Mwl. Nyerere aliposema "akitokea kiongozi akacheza na hii katiba anaweza kutawala kidikteta.
.."

Wengi wanajifanya kama hawajawahi kusikia au kujua kuwa Mwl aliwahi kutoa tahadhari.
 
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,

>>Msikilize kwa makini<<<

===========

Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.

Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?

Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.

Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu. Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.

Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine. Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.

View attachment 2064822
Kny hao viongozi wetu wanaopiga deals usiku na mchana kwa kodi za walalahoi..tuwaache sababu ni mpango wa Mungu??
 
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,

>>Msikilize kwa makiniB]

===========

Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.

Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?

Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.

Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu. Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.

Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine. Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.

View attachment 2064822
Maneno yenye hekima.
 
Ila tukubali au tukatae haya Maneno ya majaliwa ni kweli kabisaa!!!! Sikuzote MUNGU anampa amtakaye hata ufanye vipi juhudi haishindani na KUDRA
Mungu?
Ni lini nadharia ya 'Mungu' itatoka akilini mwetu?
Hakuna kitu kinachoitwa Mungu.
 
Majaliwa Hayo uliyoyaongea yana connection gani na ibada hapo. Acheni kutumia nyumba za ibada kujilinda. Mnazo forums kibao kaongeeni huko. Muumini kaja kumwabudu Mola wake na kusikia mawaidha ya ujumbe wa siku katika Quraani, weye unaenda kuwajaza mambo ya siasa zenu.

Hii tabia mlioanzisha na mentor wako si nzuri hata kidogo. Heshimuni nyumba za ibada na Ibada. Kama una hoja nenda Pale Maelezo kaongee.
 
Halafu majaliwa mwenyewe ana usafi gani? Huyu si ndiyo aliwateka wagombea wa vyama vingine jimboni kwake?
 
Aliowafunda ni sisi mwananchi ambao hatukubali utawala wake
Sidhani kama amemlenga job

Na kuna wale ambao Saiv wanapiga ramli kwamba mama anahujumiwa na kina huyu majaliwa job na wengine wengi

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Mjalaana mama yako aliyekuzaa, huwezi kuja na matusi kwa viongozi wa nchi tukunyamazie kenge wewe
Povu .. ukweli unauma ehee.. Majaliwa awezi kuwa kiongozi wa watanzania, hakuna aliemchagua.
Ni mshenzi kama washenzi wenzie wote waliochafua uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom