Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

Hii ndio ile baraghashia aliyoivaa siku ile wakati anatuambia rais yuko imara ?View attachment 2064852
Yes boss huyu hakubadili kofia, lkn hawa wa kwa Lowasa walibadili kila kitu kuanzia kauli zao, vitendo vyao na nguo zao pia. Si unaona maneno ya Mbowe hapo juu, na anachokifanya kwa hiyo picha ya chini ni tofauti.

images (7).jpeg


images (10).jpeg
 
Ndugai,Polepole, Bashiru na Mangula kwisha kaaziii
 
Ila tukubali au tukatae haya Maneno ya majaliwa ni kweli kabisaa!!!! Sikuzote MUNGU anampa amtakaye hata ufanye vipi juhudi haishindani na KUDRA
Acha we! Hata wale madikteta walipewa na Mungu siyo? Mungu hajawahi kuhusika na uchafu wa ccm na siku akijihusisha ccm itasahaulika!
 
Back
Top Bottom