Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

siasa chafuchafu, siasa za propaganda, siasa za kijingajinga, siasa takataka... NCHI HAIWEZI KUENDELEA KWA KUENDELEA KUACHA PUMBAVU ZILIPIGA PIGA KELELE NA SIASA ZA HOVYOHOVYO.....
 
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,

>>Msikilize kwa makini<<<

===========

Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.

Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?

Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.

Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu. Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.

Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine. Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.

View attachment 2064822
Ndugai ana makando kando mingi ata Waziri mkuu asiseme chochote Watanzania hawatamfikiria kuwa rais wao
 
Look at this motherfvcker

Wewe ndio unajua uongozi wa nchi kwa chochote?

Samia alikua choka mbaya huko Zanzibar..Majaliwa alikua mwalimu wa primary choka mbaya....hao wote unaona wanajua nchi zaidi ya Mbowe?

Useless motherfvcker!
You imbicile twat this country will never be ruled by dogs from CHADEMA
 
Majaliwa hapaswi kumhusisha Mungu katika masuala ya kijinga.

1.Hii katiba mbaya Mungu kahusika Vipi ?
2. Wizi wa kura 2020 Mungu kahusika Vipi ?
3. Wale wabunge 19 wasiokuwa na chama Mungu kahusika Vipi ?.
4. Kumtandika Lissu risasi Mungu alipanga?
5. Kumfungulia Mbowe Mashtaka ya kuchonga Mungu kapanga?
6. Tume mbovu ya uchaguzi Mungu kaichagua na kupanga.

Mungu hahusiki kabisa na mipango mibaya / ovu.

Huwa wanamtaja Mungu ili kuhadaa umma kuwa ni wacha Mungu, lakini ukiwafuatikllia ni mashetani wa dhahiri.
 
Nimelewa kwamba Kuna watu waliua Kiongozi wakidhania nafasi yake wataziba wao badalla yake mtu mwingine kaikalia. Hivyo anaasa wanaotaka Tena kudhulumu maisha ya viongozi wasifanye hivyo kwani Mungu ndiye mpaji.
 
Kuna mtu anamuamini huyu Mzee Sukununu wa gazeti la Sani?
 
Aache kwanza ufisadi.
16402654753460.jpg
 
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,

>>Msikilize kwa makini<<<

===========

Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.

Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?

Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.

Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu. Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.

Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine. Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.

View attachment 2064822
Wahuni tu Hawa huyu alifanya uhuni kwenye uchaguzi wa 2020
 
Huu ni ujumbe kwa wale wanaomchonganisha mama na PM na viongozi wengine kama JYN, speaker.
 
Back
Top Bottom