Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

Ila tukubali au tukatae haya Maneno ya majaliwa ni kweli kabisaa!!!! Sikuzote MUNGU anampa amtakaye hata ufanye vipi juhudi haishindani na KUDRA
Kaa nyumbani usijishughulishe na siasa utakuja kuitwa siku moja kwamba umechaguliwa uwe Rais wetu ??!! Hii misemo inaleta contradiction sana !!
 
Wapi kataja job ndugai we kilaza , anawaasa wauaji
We niushuzi kweli huna akili za kujiongeza mpaka litajwe jina!! Elimu yetu inadumaza bongo za vijana ndomana mmezoea kutafuniwa ninyi ni kumeza tuu mmefundishwa kujibu mitihani siyo kuelewa alafu unakurupuka huko unaita MTU kilaza.. Damnittt!!!
 
mtu weak kama mama anatakiwa mtu strong kama Mbowe

mama afanye Handshake na opposition aone support na kuwazima mdomo sukuma gang ndani ya ccm

kama Uhuru na Raila vile...sasa hivi Ruto analia
Kwahiyo kumbe lengo ni kuingia tu ikulu bila kujali mtu ni weak au strong..
Mtakapomsimamisha huyo mama basi CCM wanashinda kwa asilimia zote.
 
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,

===========

Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.

Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?

Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.

Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu.

Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.

Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine.

Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.

>>Msikilize kwa makiniB]

View attachment 2064822

Kutoka monduli hadi Ilulu, Bashiru, Lusinde, Majaliwa wakutana kupanga mipango mizito ya Mwaka 2022
 
unajua makundi yote mawili ccm hawamtaki mama

hilo mama naona hajalitambua vizuri

kundi la magu wanataka ndugai awe rais..kundi la akina Nape wanataka Makamba

Mama haihitajiki popote..hawataki rais mwanamke...pona yake ni handshake na opposition ndio gateway yake ya kutoka na kua rais tena

otherwise,hiyo 2025 kwenye debe hatakuwepo
Yeye ndio Rais hatakuwepo tena 😆😆 ,Makamba huyu huyu ? Tunakwenda na mama yaani mnasema hivyo wakati mabango yanampamba mama,mnachekesha nyie.
 
Kutoka monduli hadi Ilulu, Bashiru, Lusinde, Majaliwa wakutana kupanga mipango mizito ya Mwaka 2022
Achana na Uzushi huu,
 
Kwan ccm huwa wanachaguliwa??
Ujumbe umefika kwa dungayembe,,kwanza mtu kama dungayembe nani anaweza mchagua?

Hata PM kwa utaratibu wa ccm,kamwe.hawezi kuwa PM akaja kuwa Rais haipo hiyo, baada ya Samia atakuja mwingine kabisaa ambaye ni ngumu kumbashiri.
 
kawa rais kwa accident

unampigia kura si mpaka awe kwa debe kwanza?

na yeye kua kwa debe ni lazima apitishwe na CCM

na CCM ndio ya akina Ndugai na akina Makamba na akina Nape ambao hawamtaki rais mwanamke wa Zanzibar

Okoa ya mama ni kufanya handshake na opposition,chini ya hapo hawezi kua kwa debe
Hakuna cha handshake ,hiyo hiyo accident ndio utaliona na 2025.
 
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,

===========

Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.

Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?

Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.

Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu.

Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.

Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine.

Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.

>>Msikilize kwa makiniB]

View attachment 2064822
SEMA PM
 
Back
Top Bottom