britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
-
- #21
Konki LikwidiiAisee..utani utani jamaa anakwea mwewe
Konki Likwidii
Hahaha nilikasahau ka neno hako Fireeefayaa
Chiiiiiiiiii...... Papushikashi atabaki kileleni[emoji23]Atii niniiii!?
Atabaki juu kileleni.
😉😉😉ccm toka lini mkawa na kumbukumbu nzuri mzee baba?Hahaha nilikasahau ka neno hako Fireee
Chiiiii.... Everbadi say yeeeeAtii niniiii!?
Atabaki juu kileleni.
Sisiemu wachache ndo hawakumbuki😉😉😉ccm toka lini mkawa na kumbukumbu nzuri mzee baba?
Mkuu kunywa ntalipaMpaka waziri mkuu naye amempa promo 'mtu wa hovyo'
Hapa kuna mawili aidha wa hovyo ndiyo wa hovyo au aliyesema wa hovyo ndiyo wa hovyo
Juu kabisaAtabaki kuwa juu
KabisaDah! Kuna watu wana nyota nzuri aisee
watu walikuwa wanataguta pamkunyuka makonda sasa wamepata na ujum e umemfikia Mlezi wake haaa au ndo mlezi anafanya mactekechetonic Kukadeci this time makonda hatasikika tena na hiyo nn sijui wajane atashinda naoMpaka waziri mkuu naye amempa promo 'mtu wa hovyo'
Hapa kuna mawili aidha wa hovyo ndiyo wa hovyo au aliyesema wa hovyo ndiyo wa hovyo
wametutoa tiyariMsisahau kuna CAG na zile mbili nukta nne. Msitoke nje ya ndoa wakuu
Hivi PM anajua kuwa bashite hapendi hizi habari?Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemhakikishia Pierre Gumbo(Liquid) kuwa kuna tiketi yake kwa ajili ya kuambatana na Taifa Stars kuelekea Misri.
Waziri Mkuu ameyasema hayo alipozungumza na Pierre Liquid katika viwanja vya Bunge.
... anaenda kuwa mhamasishaji mkuu kwenye timu ya kampeni huyu. tunaenda kupata ushindi wa kimbunga; na wananchi walivyomkubali mtashangaa na roho zenu. Siasa ni strategy na sio bla blah; mshapigwa 5 za haraka haraka kabla ya mpambano.