Kassimu Majaliwa: Serikali itamlipia Piere Konki Likwidi kwenda na Taifa stars nchini Misri

Kassimu Majaliwa: Serikali itamlipia Piere Konki Likwidi kwenda na Taifa stars nchini Misri

... anaenda kuwa mhamasishaji mkuu kwenye timu ya kampeni huyu. tunaenda kupata ushindi wa kimbunga; na wananchi walivyomkubali mtashangaa na roho zenu. Siasa ni strategy na sio bla blah; mshapigwa 5 za haraka haraka kabla ya mpambano.
 
Mpaka waziri mkuu naye amempa promo 'mtu wa hovyo'

Hapa kuna mawili aidha wa hovyo ndiyo wa hovyo au aliyesema wa hovyo ndiyo wa hovyo
watu walikuwa wanataguta pamkunyuka makonda sasa wamepata na ujum e umemfikia Mlezi wake haaa au ndo mlezi anafanya mactekechetonic Kukadeci this time makonda hatasikika tena na hiyo nn sijui wajane atashinda nao
 
... anaenda kuwa mhamasishaji mkuu kwenye timu ya kampeni huyu. tunaenda kupata ushindi wa kimbunga; na wananchi walivyomkubali mtashangaa na roho zenu. Siasa ni strategy na sio bla blah; mshapigwa 5 za haraka haraka kabla ya mpambano.
 
Mtu wa ovyo atabaki kua juu mtu wa ovyo wa dar nadhani atatia figisu kwa baba ake ikulu wengine wasitoke

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom