DOKEZO Kasulu: Eneo la NYAKITONTO, Kamchape wanahatarisha usalama wa raia na Polisi wapo kimya!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mchawi hapaswi kuishi,maana anafanya kazi isiyo na faida kwake Wala kwa jamii zaidi ya kuwa mateka wa shetani.
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa kwamba kundi lote hili linaaamini uchawi upo. Kweli tuna safari ndefu sana
Inasikitisha Sana kuona Hadi nyakati hizi Kuna watu wanaamini ugumu katika maisha Yao sababu ni ndumba.
 
Subiri hao unaowatetea wakikuulia mwana family yako ksa wivu wa maendeleo ndo akili itakukaa sawa.
 
Wachawi ni adui wa maendeleo na hawa KAMCHAPE nasikia iliasisiwa na rais baada ya kufanyiwa mazingara alivotembelea Kigoma, ndo akawapa mamlaka ya kuwakomesha wachawi. Sasa hawa wanaowapinga KAMCHAPE itakuwa ndo wachawi wenyewe wanaogopa kuachishwa uchawi wao
 
Wachawi mpigwe tu
 
Wanasambazaje magonjwa ya zinaa mkuu?
 
Unauaje chanzo ambacho hakipo?
Acha ubishi wenzetu walitutangulia kwenye kuregulate sheria na kanuni kwenye kila jambo ila sisi tulikuwa tunapuuzia baadhi ya mambo na kujifanya kama jambo halipo na leo hii inatugharimu.
Achilia mbali ulaya hata Dubai kuna sheria kali kuhusu uchawi,ukishikwa na hirizi,tunguli au kitu chochote kinachotumika kwenye mambo ya uchawi au ushirikina unakamatwa na kupelekwa jela
 
Ngoja Atoe Ufafanuzi
Jibu lake ni jepesi sana.
Ufanyazi wao wa kazi wanafanana na wataalamu wa Computer science.
Kuna wanaofanya cyber attack na kuna wengine wanafanya cyber security ila wote wamesomea computer science.
Na waganga vs wachawi pia ni hivyo hivyo mchawi ni mtu wa kuharibu na mganga ni mtu wa kuweka kinga usiharibiwe na wachawi ila wote wanajua hiyo taaluma
 
Acha kuleta humu stori za vijiweni? Ulaya gani wanafunga wenye tunguli!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…