Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

Mwarabu ni Mkoloni wa hovyo sana
 
Mi huwa
Najiuliza hiv kwanini hawaend kujenga maeneo yenye uhitaji wa misikiti? Kama kule kwetu kuna waislam mmoja mmoja ila wanapata shida sana. Tuliwah kumsaidia mzee mmoja kumjengea
 
Mtoa mada ana hoja ila kakurupuka sana
Anadhani hela iliojenga misikiti 36 tuseme 50 inaweza ikajenga kiwanda kimoja
Yaani kujenga kiwanda sio jambo rahisi
Pia huko tambani kuna taabu ya maji sana tu ila bado anabeza ujengwaji wa visima
Pia mfadhili anafadhili eidha kinachomfaa ama anachoona anakiweza
Ilitakiwa kwanza aihoji sirikali yake kabla ya kuwahoji wafadhili
 
Suala la kupigwa sio kosa lao nikosa la mpigaji
Pia kwenye hii dunia ukiwa unamtuma mtu yaani ujue tu suala la kupigwa haliepukiki yaani sio tu mskiti hata makanisa watu wanapigwa hata majumba yakukaa watu wanapigwa maguest ma bar wanapigwa
Wanapigwa sirikali wanaosema wana mkono mrefu itakua muarabu mmoja tu ambae kashiba zake tende ndio asipigwe?
 
Hakuna muislam ama muumin mwenye shaka na akhera
Na akhera ipo bila yashaka yeyote ile yaani
Ila tu ukweli ni kwamba hizo huduma tajwa hapo mnatakiwa ama tunatakiwa tujengewe na sirikali mtu binafsi akijenga ama asijenge iwe sio tatizo ama sio ishu yeyote
Mfadhili unampangiaje cha kujenga?
 
Ww uliosoma una nini...vijana kibao wana degree tena za ualimu na zingenezo wako mtaani wanaendesha bodaboda tu...
Hiyo siyo hoja ya kujenga misikiti kila kona ya barabara na kijiji/mtaa
 
Duuh
Msikiti 36 kwenye Kata moja?!!
Wasije tu wakaanzisha Afghanistan mpya hapo
 
Mi huwa

Najiuliza hiv kwanini hawaend kujenga maeneo yenye uhitaji wa misikiti? Kama kule kwetu kuna waislam mmoja mmoja ila wanapata shida sana. Tuliwah kumsaidia mzee mmoja kumjengea
Hakuna sehem ambayo haihitajii mskiti maadam tu kuna waswaliji wakuisalia
Jiulize tu hio miskiti ya tambani haisaliwi?
 
Evidence? Give tangible evidence not revelations
Kwanza ungetoa evidence ya kua una akili halaf tukupe evidence
Hio akili usiichukulie vibaya nithibitishie tu kama una akili halaf tuendelee
 
Wazee wa bikra 72 huwa hwapoi.
 
Ni wapuuzi, wanadhani ipo siku wataisilimisha tanzania. Wamekazana kujenga misikiti mpaka porini kando ya barabara kuu. Hiyo misikiti itafika wakati itakosa wa kuswali na kugeuka kuwa makazi ya popo na wadudu wengine
Amka kijana
 
Hakuna sehem ambayo haihitajii mskiti maadam tu kuna waswaliji wakuisalia
Jiulize tu hio miskiti ya tambani haisaliwi?
Ni mingi mno hiyo misikiti 36 kwa Kata moja.
Serikali ya China wameona mbali, wao wanapunguza idadi ya misikiti..
 

Usiwapangie watu na pesa zao, ipi bora misikiti ya Mwenyezi Mungu au kiwanda?

Aisee kuna watu mnachuki sana na uislamu, pole sana.

Na utambue jiji la Darussalaam ni jiji la Waislamu, so kama unaishi dar hama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…