Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Ccm hawana akiliUnafikri waliotoa vibali mazumbukuku kwamba hawawez kufikiri au kuchanganua mpka kufikia uamuzi wakutoa vibali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm hawana akiliUnafikri waliotoa vibali mazumbukuku kwamba hawawez kufikiri au kuchanganua mpka kufikia uamuzi wakutoa vibali?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]allah amewaumba mabikra pro 2024 acha misikiti na madrasa nyingi zijengwe vijana walinganiwe kisha wapelekwe msumbiji kongo na somalia tayari kwenda kwa mabikira na kwenye mito ya pombe !!Wanataka watu wengi wajue utamu wa mabikra 72 ile wawe tayari kwenda kwenye mikusanyiko na kupayuka ALLA AKBARU na kujilipua
Nilikuwa huko ilibidi niuze nyumba ambayo sasa imegeuzwa madrsaa.Nawaza tu huko Tambani sijui ikifika saa 10 alfajiri hayo makele inakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waache baadae waje kulia lia nchi hii inamfumo kristo.habari wadau.
Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.
kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu wasome vizuri wazalishe Ma engineer, Madaktari na wataalamu wa fani mbali mbali,
kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini
KWA NINI MSAADA UWE KUONGEZA NYUMBA ZA IBADA TU ?
najiuliza wafadhili hao kwa nini wasijenge hata chuo cha ufundi ama cha teknolojia hata kimoja ili watu wa TAMBANI wapate mafunzo ya kitaalamu wajikomboe kiuchumi ?
kujenga misikiti sio jambo baya , ni jambo zuri kufadhili kuwajengea wananchi sehemu za kuabudia. ila nimeshangaa sana why msaada uwe kujenga misikiti tu na kuchimba visima vya kutawazia.
Tunapaswa tuwaambie wafadhili adui wetu mkubwa ni Ujinga, Maradhi na Umaskini. Vitu vya kupambana ma hawa maadui watatu ndio wanapaswa kutujengea kwa wingi.
Kutujengea Shule, zahanati na viwanda ndio ufadhili wa kweli.
Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
Haha na wakawadanganya wafuasi wao eti ikitokea bahati mbaya mtu akafia kwenye ile misongamano kule kwenye kuhiji basi moja kwa moja anaenda peponi, asee dini zote zililishwa uongo ila hawa ndugu zetu uongo wao sijui uliwekwa nini hadi wanakuwa mambumbumbu kiasi hiki ila uzuri kadiri miaka inavyozidi kuenda dini zinaanza kupoteza ushawishi, kwahiyo hata wakija kutawala watatawala kipindi ambacho dini hazitakuwa na nguvu tena kwa sababu vizazi vya sasa na vijavyo taratibu vimeanza kuzikataa hizi diniWaarabu hawawezi kufadhili kitu cha maana.
Enzi tu za ukoloni hawakujenga shule hata moja.
Waarabu huwa wanajenga misikiti tu na kutoa tende na nyama ya ngamia.
Wanapenda waislamu wawe wengi duniani ili iwe rahisi kwao kutawala dunia kwa kupitia dini yao.
Pia waislamu wakiwa wengi waarabu wanapata maokoto. Maana wanajua kuna kipengele cha kwenda kuhiji makka kwenye dini yao kinawaletea mahela mengi.
Ndio maana wanajenga sana misikiti na madrassa.
pia waarabu kwa kupenda kutawala watu Ndio maana wafalme wa nchi zao wamejipa umuhimu zaidi kwa kujifanya wanatokea ukoo wa Mtume muhammad.
misikiti ni sunaa shehee si ndioooo...ijengwee mingiii!sasa wewe roho inakuuma nini tukijenga misikiti? sisi ndio tumeridhika nayo wewe hayakuhusu fata yako
kwani tumekwambia tuna shida ya viwanda? au wewe umekuwa msemaji wetu?
hebu kaeni na wachungaji wenu feki wanaowapiga hela kila siku msituingile mambo yetu hayawahusu
Vituo vya ugaidi na biashara haramu kupitia misikiti hiyo. Code.habari wadau.
Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.
kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu wasome vizuri wazalishe Ma engineer, Madaktari na wataalamu wa fani mbali mbali,
kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini
KWA NINI MSAADA UWE KUONGEZA NYUMBA ZA IBADA TU ?
najiuliza wafadhili hao kwa nini wasijenge hata chuo cha ufundi ama cha teknolojia hata kimoja ili watu wa TAMBANI wapate mafunzo ya kitaalamu wajikomboe kiuchumi ?
kujenga misikiti sio jambo baya , ni jambo zuri kufadhili kuwajengea wananchi sehemu za kuabudia. ila nimeshangaa sana why msaada uwe kujenga misikiti tu na kuchimba visima vya kutawazia.
Tunapaswa tuwaambie wafadhili adui wetu mkubwa ni Ujinga, Maradhi na Umaskini. Vitu vya kupambana ma hawa maadui watatu ndio wanapaswa kutujengea kwa wingi.
Kutujengea Shule, zahanati na viwanda ndio ufadhili wa kweli.
Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
Mi hoja yangu ni kuwa kama mtu anaweza kutoa msaada wa kujenga msikiti sehem ambayo mita 300 upo mwingine kwanini asiende kuwajengea watu huko mkoan watu hao hao wanasali Zaid ya kilometre 10 mpaka 20.Hakuna sehem ambayo haihitajii mskiti maadam tu kuna waswaliji wakuisalia
Jiulize tu hio miskiti ya tambani haisaliwi?
Sawa mzeeHuna unalojua kijana
Binadamu kuna kupitiwa; ulimwengu wa sasa ni wa sayansi na teknolojia na si kujikita kwenye mambo ya kusadikika; kwa nini China wanavunja hayo majengo?Unafikri waliotoa vibali mazumbukuku kwamba hawawez kufikiri au kuchanganua mpka kufikia uamuzi wakutoa vibali?
Wakafanye kazi za kiufundi, kilimo n.k ili tuweze kuuza bidhaa nje na kupata fedha za kigeniWatu wakaabudie wapi?
Acheni watu wafanye ibada mzee ibada zipo dunia nzima na watu wanaendelea na kufanya kaziWakafanye kazi za kiufundi, kilimo n.k ili tuweze kuuza bidhaa nje na kupata fedha za kigeni
Sasa unajuaje kama huyo mtu anajua kuhusu hio shida wanayopitia hao watu huko walipo?Mi hoja yangu ni kuwa kama mtu anaweza kutoa msaada wa kujenga msikiti sehem ambayo mita 300 upo mwingine kwanini asiende kuwajengea watu huko mkoan watu hao hao wanasali Zaid ya kilometre 10 mpaka 20.
Wana chuki tu kama india wamevunja mskiti wamejenga jengo la kuabudia wahinduBinadamu kuna kupitiwa; ulimwengu wa sasa ni wa sayansi na teknolojia na si kujikita kwenye mambo ya kusadikika; kwa nini China wanavunja hayo majengo?