Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

Sasa unajuaje kama huyo mtu anajua kuhusu hio shida wanayopitia hao watu huko walipo?
Huja yako nimeielewa na ina mashiko pia
Wanajua ni kama vile unavyoona vituo vya watoto yatima Dar. Vingi vinapata msaada kwasababu vipo Dar ila huko mkoan ni shida tupu. Na watu wanajua.
 
Wanajua ni kama vile unavyoona vituo vya watoto yatima Dar. Vingi vinapata msaada kwasababu vipo Dar ila huko mkoan ni shida tupu. Na watu wanajua.
Shida acces ama watu wanaopokea hizo suala
Maana misaada kufika dar ama miji mikubwa popote pale dunia ya afrika hua rahisi kuliko penginepo
 
Hizo ndizo akili za wafuasi wa mudi.
Unaambiwa wafuasi wa mudi wamepewa pesa na kunyimwa akili .
 
Mkuu kila Msaada Una masharti yake, mambo ya Shule, vituo vya afya waachieni Wakristo maana katika vitabu vya dini tumeusiwa pia katika kujali afya ya mwili na roho, vilevile tumeusiwa sana tumkamate sana elimu tusimuache aende zake, sasa huko shuleni ndio tunajifunza umuhimu wa hospitali, shule na huduma nyingine muhimu za kijamii. Wewe usijali, nenda msikitini ukitoka huko kutibiwa nenda kwenye taasisi za kikristo wala hakuna shida na wala hatubagui
 
Muda wa adhana kwa wasiohusika si itakuwa balaa.
 
Basi veta wajue hata ufundi kwa vitendo
 
Kwa kifupi waliokusapoti wote hawana akili!, Unajua vitu vya kuzingatia kabla ya kuanzisha kiwanda? Haya una uhakika gani kama wao wame base kwenye ujenzi wa misikiti na hawajawekeza kwingne?
 
Kwa kifupi waliokusapoti wote hawana akili!, Unajua vitu vya kuzingatia kabla ya kuanzisha kiwanda? Haya una uhakika gani kama wao wame base kwenye ujenzi wa misikiti na hawajawekeza kwingne?

Utafiti huu umefanyika katika kata ya Tambani.

Matokeo ya utafiti hatujaona kwingine walikowekeza. Hakuna zahanati hata moja Tambani iliyojengwa na hao wafadhili, hakuna shule hata moja Tambani iliyojengwa na hao wafadhili na hakuna kiwanda hata kimoja Tambani kilichojengwa na hao wafadhili.
Ila kuna Misikiti 36 imejengwa na hao wafadhili.

Na ujenzi wa misikiti mingine bado inaendelea kwenye kata ya Tambani. Hivyo mwakani idadi ya misikiti itaongezeka haitakuwa 36 tena
 
Ni kama Asas tu, pale Iringa amejenga/amesaidi kupata wadau wa ujenzi wa misikiti kuliko huduma nyingine za kijamii.

Hata kama hatupangiani matumizi ya fedha, ila tunahitaji kudhibiti.
 
hiyo ndio akili ya mwarabu
 
Mtu akijenga msikiti na watu wakaswali humo, aliyejenga anakuwa anapata dhawabu kubwa kwa Allah sw na hicho ndicho wanacholenga wafadhili wa ujenzi wa misikiti. Kws hiyo usishangae hata mtaa mzima ukiwa na misikiti
 
Labda wananchi ndo wameomba hitaji lao, na sio vinginevyoo
Ingekuwa kwa wachagga wangeomba nini?
Ingekuwa kwa wahaya wangeomba nini?
Ingekuwa wagogo wangeomba nini?
Ingekuwa wanyakyusa wangeomba nini?
etc
 
sie tuitwae na kuigeuza maghala ya kuhifadhia mazao ya mashambani, nani ataenda kuswali huko? Kuna siku inakuja hiyo misikiti itabaki magofu hakutakuwa na wa kusali watu wamebadilika hawataki tena imani za kimagumashi haziwapi chakula
 
There goes the the country's top Islamic Affairs Expert

Matajiri wa kubwa nchi ni Wayahudi au?
 
Pesa zao usiwapangie dini kwanza mengine ya ziada.
Gharama ya misikiti yote 36 haivifikii hata robo ya ujenzi wa kiwanda kimoja
 
Wakiendekeza ibada uzalishaji unakuwa sifuri; ni nani aliishi kwa kula ibada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…