Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

Sasa unajuaje kama huyo mtu anajua kuhusu hio shida wanayopitia hao watu huko walipo?
Huja yako nimeielewa na ina mashiko pia
Wanajua ni kama vile unavyoona vituo vya watoto yatima Dar. Vingi vinapata msaada kwasababu vipo Dar ila huko mkoan ni shida tupu. Na watu wanajua.
 
Shida acces ama watu wanaopokea hizo suala
Maana misaada kufika dar ama miji mikubwa popote pale dunia ya afrika hua rahisi kuliko penginepo
 
Hizo ndizo akili za wafuasi wa mudi.
Unaambiwa wafuasi wa mudi wamepewa pesa na kunyimwa akili .
 
habari wadau.

Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.

kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu wasome vizuri wazalishe Ma engineer, Madaktari na wataalamu wa fani mbali mbali,

kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini

KWA NINI MSAADA UWE KUONGEZA NYUMBA ZA IBADA TU ?

najiuliza wafadhili hao kwa nini wasijenge hata chuo cha ufundi ama cha teknolojia hata kimoja ili watu wa TAMBANI wapate mafunzo ya kitaalamu wajikomboe kiuchumi ?

kujenga misikiti sio jambo baya , ni jambo zuri kufadhili kuwajengea wananchi sehemu za kuabudia. ila nimeshangaa sana why msaada uwe kujenga misikiti tu na kuchimba visima vya kutawazia.

Tunapaswa tuwaambie wafadhili adui wetu mkubwa ni Ujinga, Maradhi na Umaskini. Vitu vya kupambana ma hawa maadui watatu ndio wanapaswa kutujengea kwa wingi.

Kutujengea Shule, zahanati na viwanda ndio ufadhili wa kweli.

Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
Mkuu kila Msaada Una masharti yake, mambo ya Shule, vituo vya afya waachieni Wakristo maana katika vitabu vya dini tumeusiwa pia katika kujali afya ya mwili na roho, vilevile tumeusiwa sana tumkamate sana elimu tusimuache aende zake, sasa huko shuleni ndio tunajifunza umuhimu wa hospitali, shule na huduma nyingine muhimu za kijamii. Wewe usijali, nenda msikitini ukitoka huko kutibiwa nenda kwenye taasisi za kikristo wala hakuna shida na wala hatubagui
 
Muda wa adhana kwa wasiohusika si itakuwa balaa.
 
Akili za watanzania wanajua kiwanda unajenga tu ... Operating costs , soko , utaalamu ...Kiwanda sio rahisi misikiti ni simple tu unajenga....Kiwanda narudia sio rahisi pia location za kimazingira angalia Mbagala ....Kama viwanda vya pwani huyo Nyerere aliviuwa kule Tanga mkae kwa kutulia .

Huko kwenu mbona hakuna viwanda zaidi ni mkoa wa pwani ndio una viwanda vingi....Kama shule zipo kibao maana shule moja inachukua wanafunzi wengi huwez kujenga kila kona shule.
Basi veta wajue hata ufundi kwa vitendo
 
Kwa kifupi waliokusapoti wote hawana akili!, Unajua vitu vya kuzingatia kabla ya kuanzisha kiwanda? Haya una uhakika gani kama wao wame base kwenye ujenzi wa misikiti na hawajawekeza kwingne?
 
Utafiti huu umefanyika katika kata ya Tambani.

Matokeo ya utafiti hatujaona kwingine walikowekeza. Hakuna zahanati hata moja Tambani iliyojengwa na hao wafadhili, hakuna shule hata moja Tambani iliyojengwa na hao wafadhili na hakuna kiwanda hata kimoja Tambani kilichojengwa na hao wafadhili.
Ila kuna Misikiti 36 imejengwa na hao wafadhili.

Na ujenzi wa misikiti mingine bado inaendelea kwenye kata ya Tambani. Hivyo mwakani idadi ya misikiti itaongezeka haitakuwa 36 tena
 
Ni kama Asas tu, pale Iringa amejenga/amesaidi kupata wadau wa ujenzi wa misikiti kuliko huduma nyingine za kijamii.

Hata kama hatupangiani matumizi ya fedha, ila tunahitaji kudhibiti.
 
habari wadau.

Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.

kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu wasome vizuri wazalishe Ma engineer, Madaktari na wataalamu wa fani mbali mbali,

kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini

KWA NINI MSAADA UWE KUONGEZA NYUMBA ZA IBADA TU ?

najiuliza wafadhili hao kwa nini wasijenge hata chuo cha ufundi ama cha teknolojia hata kimoja ili watu wa TAMBANI wapate mafunzo ya kitaalamu wajikomboe kiuchumi ?

kujenga misikiti sio jambo baya , ni jambo zuri kufadhili kuwajengea wananchi sehemu za kuabudia. ila nimeshangaa sana why msaada uwe kujenga misikiti tu na kuchimba visima vya kutawazia.

Tunapaswa tuwaambie wafadhili adui wetu mkubwa ni Ujinga, Maradhi na Umaskini. Vitu vya kupambana ma hawa maadui watatu ndio wanapaswa kutujengea kwa wingi.

Kutujengea Shule, zahanati na viwanda ndio ufadhili wa kweli.

Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
hiyo ndio akili ya mwarabu
 
Mtu akijenga msikiti na watu wakaswali humo, aliyejenga anakuwa anapata dhawabu kubwa kwa Allah sw na hicho ndicho wanacholenga wafadhili wa ujenzi wa misikiti. Kws hiyo usishangae hata mtaa mzima ukiwa na misikiti
 
Labda wananchi ndo wameomba hitaji lao, na sio vinginevyoo
Ingekuwa kwa wachagga wangeomba nini?
Ingekuwa kwa wahaya wangeomba nini?
Ingekuwa wagogo wangeomba nini?
Ingekuwa wanyakyusa wangeomba nini?
etc
 
Ni mingi mno hiyo misikiti 36 kwa Kata moja.
Serikali ya China wameona mbali, wao wanapunguza idadi ya misikiti..
sie tuitwae na kuigeuza maghala ya kuhifadhia mazao ya mashambani, nani ataenda kuswali huko? Kuna siku inakuja hiyo misikiti itabaki magofu hakutakuwa na wa kusali watu wamebadilika hawataki tena imani za kimagumashi haziwapi chakula
 
Hiyo ni jamii ya kiislamu. Hitaji lao ni ahera (kama ipo anyway). Elimu dunia is not a priority to them. Pwani yote priority ni madrasa n misikiti. Tuwaache wapiganie ahera ambayo hawana uhakika usiokuwa na mashaka kama ipo! (mnisamehe najua mtanirukia.
There goes the the country's top Islamic Affairs Expert

Matajiri wa kubwa nchi ni Wayahudi au?
 
Pesa zao usiwapangie dini kwanza mengine ya ziada.
Gharama ya misikiti yote 36 haivifikii hata robo ya ujenzi wa kiwanda kimoja
 
Acheni watu wafanye ibada mzee ibada zipo dunia nzima na watu wanaendelea na kufanya kazi
Sijawahi kuona duniani ama mskiti au kanisa waumini wake wanafanya kazi 24/7
Sasa ibada ya dakika 15 kila baada ya muda fulani ndio zinazuia watu kufanya kazi
Tafteni vyengine ila ibada sio sababu
Wakiendekeza ibada uzalishaji unakuwa sifuri; ni nani aliishi kwa kula ibada?
 
Back
Top Bottom