Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,359
Kwa kifupi sio watu .. polisi sio watu .. wale ni wahalifu walio rasimishwa na sheria za nchiIla ni kweli polisi sio wa kuwaamini
Ukiwa dhaifu muda wowote wanakubambika kesi.
Hawa watu hata mimi hua sina imani nao kabisa
hatar Sana Hawa policeHakuna umuhimu wowote bali mnatimiza wajibu wenu kama watumishi wengine wa uma, cha ziada mlichonacho ni akili ndogo na uonevu juu ya raia ova
#POLISI SIO RAFIKI, MKATAE
Hakuna umuhimu wowote bali mnatimiza wajibu wenu kama watumishi wengine wa uma, cha ziada mlichonacho ni akili ndogo na uonevu juu ya raia ova
#POLISI SIO RAFIKI, MKATA
Na ukiwaona wamevaa helmet kichwani utafikiri akiri zipo kumbe Wana D nne tu😀😀😀Taasisis yote imeoza ova
Kwahyo kila anaenda against Na fikra zako ni polisi acha mawazo finyummetoka mafichoni! polisi mnaeleweka tu hata lugha zenu.. Ila wewe na polisi wenzio mna mambo ya hovyo badilikeni
Huu ndio ukweli ...Hatari sana hii, kama mkuu wa kituo asingekuwepo na kuna SMG karibu, dogo angeuwawa, IQ za police ni ndogo sana, usitafute heshima kwao, kaa mbali nao kabisa, na ukiingia kwenye 18 zao kuwa mpole uondoke ukiwa hai. Tuishi,
Cha muhimu:
- Kaa mbali na police, hata kama ni ndugu.
- Tupige sala kila siku asubuhi Mungu aongoze njia zetu.
- Ukiingia kwenye 18 zao kuwa mpole, negotiate.
hata abaki kama emergency apaswi. Polisi ata akiwa mjomba walio wengi hawana msaada ukikabiliwa na matatizo.Kuna mshikaji wangu sana saivi yuko CPP moshi ana maliza soon.nilkuq sha anza kumsogeza pembeni ki style abaki kama emergency
Ni ukweli kabisaAsilimia kubwa ya michango ya watu wengi kwenye Uzi huu ni kweli.
SafiNaunga hoja hawa jamaa miyeyusho sana nakumbuka kuna polis alikuwa ana force mazoea kwenye mishe zangu mara nipe elfu10 mara 20 mwisho wa siku mimi sipati maslai yoyote wanatumia upolisi kama fimbo kutuchapia nilimpiga chini akaanza kuniletea visaa ila nilimmudu
HakikaAsilimia kubwa ya michango ya watu wengi kwenye Uzi huu ni kweli.
Zanzbar ndo sehemu pekee Tanzania ambapo unakuta mpaka muuza nyanya sokoni ana ndugu wapo ikulu so katika sehem ambako usidharau au kumuonea mtu ni zanzbar mkuuSio kwa Zanzibar mkuu ktk sehem ambayo watu hawaogopi polisi mmoja wapo ni Zanzibar. Nishashuhudia kwa macho yangu RTO akirudishiwa kibao na raia kwa kesi za kipumbav
🤣 Nakubaliana na wewe Mkuu juzi kati kuna Mtu alimuona RPC yup barabaran nae kwenye ukaguz wa vyombo vya moto bc akajisemea tu yule Rpc anatafuta kuzalilika tu pale akasema anaweza kumkamata mtu na honda yake haina bima hafla ukaona cm ya CP inaita kukwambia umuachie uyo kijana.Zanzbar ndo sehemu pekee Tanzania ambapo unakuta mpaka muuza nyanya sokoni ana ndugu wapo ikulu so katika sehem ambako usidharau au kumuonea mtu ni zanzbar mkuu
Wazanzibari ni wengi ni watu humble, hawana makuu. Hii ipo sana kwa watu ambao ni waislamu.🤣 Nakubaliana na wewe Mkuu juzi kati kuna Mtu alimuona RPC yup barabaran nae kwenye ukaguz wa vyombo vya moto bc akajisemea tu yule Rpc anatafuta kuzalilika tu pale akasema anaweza kumkamata mtu na honda yake haina bima hafla ukaona cm ya CP inaita kukwambia umuachie uyo kijana.
Kwa Zanzibar ni jambo la kawaida sana kumuona mtu mlala hoi tu ila ana watu wazito sana kwenye system.