Nitakuwa sawa kabisa endapo nitasema wanachi wengi ni waovu kuliko wenye mioyo safi,maana police wanawakilisha jamii nzima.na wala haitasaidia lolote kufumua,kwani taasisi yenye malalamiko ni police peke yake???Uongo mkubwa sana huu. Askari Polisi ambao ni WAOVU na WAHALIFU ni wengi zaidi kuliko walio wasafi. Mbaya zaidi sana ni kuwa Polisi ambao ni Waovu na Wahalifu wengi wao ni wale wenye nyadhifa za juu kiasi cha kulifanya Jeshi la Polisi lote kuonekana kuwa ni Kama Genge la Wahalifu.
Nadhani shule kwanza mengine baadae.Hii nchi kuna mizigo kadhaa tukuanza na hao polisi, tanesco wengine mtaendelea
Sio tumbo MATUMBO YA RUSHWA.Tumbo la rushwa[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2861705
Wajameni mi ni chawa wako ujue ,ulipo nipohatutaki urafiki, uhusiano na mazoea na nyie, wacha nibaki na muuza madafu wangu
Mbona nikipita kwenye bonde la uvuli wa vichambo sikuoniWajameni mi ni chawa wako ujue ,ulipo nipo
NitaggMbona nikipita kwenye bonde la uvuli wa vichambo sikuoni
deletedNitagg
Umbwa [emoji777]Nina ma classmate wengi polisi na tunao kwenye group la WhatsApp, tunaenda nao kinafiki hivyo hivyo! Hawana maana hao umbwa juzi kati tukawa na changamoto moja, classmate mmoja na mtu tunatoka naye sehemu moja ambaye ni OC-CID akafanya juhudi za kumtoa mtuhumiwa wa mauaji kwa kuharibu ushahidi na upelelezi kwa ujumla! Umbwa kabisa hao! Matokeo yake mtuhumiwa akaachiwa! Huwa anajipendekeza kwangu nami namwangalia kama umbwa vile! Nyoko sana hawa watu! Tuishi nao kinafiki hivyo hivyo!
Alikupigaje Euro 300, maelezo kwa kina tafadhali Chifu.Kweli kabisa, mara ya mwisho nilipigwa euro 300 pale Airport.
Nikakutana na huyo bwege Namanga anachange hela yangu.
Nikataka nimvae mpambe akasema kausha o bay hapo jirani tu.
Dah kwa msongo wa mawazo nikapata ajali usiku huo.
Pia inasemekana hao Polisi ndiyo hutekeleza wizi wa kura kwa ajili ya ccm kinyume na matakwa ya umma wa wapiga kuraPolisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.
Muambie huyoo!!Siku wakikuzunguka utaleta malalamiko hapa.
Wee tulia tu.
W
Na Ruvuma, [emoji23][emoji23][emoji23]Mikoa ya tanga, mtwara ni nadra sana kusikia watu wamebambikizwa kesi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Matumizi mabaya ya jina letu "mjeda" hilo ni jina letu wana KJ sio la hao wahuni