Kataa katakata mkeo kutoa jina la mtoto wenu wa kiume

Hatari Sana aisee
 
Mwanamke ni mali , kwani nampata bure si namtafuta. Lazma niwe na mamlaka ya mwisho juu ya Mali yangu.
hata kama unamtafuta lakini siyo miliki yako kijana. Yeye ana maisha yake na wewe unayo maisha yako. Mumeamua kuungana kwa kuleta watoto duniani - huo unakuwa ni uamuzi wa wote wawili, sasa iweje tena wewe ujipe mamlaka kamili?
 
Haya ndiyo madhara ya kutohudhuria vikao vya wanaume, kwasababu hili suala mbona tulishalifanyia maamuzi kwamba hiki kitu hakipo? Yaani usikubali
 
hata kama unamtafuta lakini siyo miliki yako kijana. Yeye ana maisha yake na wewe unayo maisha yako. Mumeamua kuungana kwa kuleta watoto duniani - huo unakuwa ni uamuzi wa wote wawili, sasa iweje tena wewe ujipe mamlaka kamili?
Mwanamke akiolewa hana maisha yake vilevile pia mwanaume akioa hana maisha yake . kuna kuwa na maisha ya pamoja.. Baba /mwanaume ni kichwa kwenye familia so maamuzi mengi anafanya mwanaume.
 
Hahahah hio safi ila kwa akili ya mke wangu naona huko ni kumpa mazoezi mi natafta jina litalonipendeza😀 ila liwe zuri, mfano dogo mmoja anaitwa "Candice" hilo jina nilitafta mimi nikampa. Au Jachobed jr yote yake.
 
Umeandika kwa mafumbo sana lakini kwa tuliyoshuhudia makabiliana ya wana ndoa kwa mke kutoa jina la mtoto wa kiume tumegundua

Ataitwa jina la baba mpenzi
 
Sasa mnachokataaa nn? Wee kumpa jina la ex wako mtoto wenu wa kike ni sawa, ila mkeo kumpa jina la ex wake mtoto wenu wa kiume ni vibaya?

Unafiki na ubinafsi huu.
 
Kila kabila lina (tamaduni) utaratibu wake wakutoa majina kwa watoto.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Tsh
Mke wangu kampa mwanagu jina la baba ake mzazi ila yule baba mkwe ni mswahili sana nafikiri kumbadili jina mwanangu asije kupata tabia za huyu babu wake.
Kuna wanaume mnatuangusha asee hicho cheo chakutoa jina umempaje au yeye ndio kakutolea mahari
 
Kuna wanaume mnatuangusha asee hicho cheo chakutoa jina umempaje au yeye ndio kakutolea mahari
Alivo toka kwao karudi najina na sikitaka kumgombeza si unajua babu ange mind sanaa
 
Unajichagulia majina kwenye list ya ma ex zako ndomana wajanja tumesanuka
 
kuwa siriaz mkuu, hapa umeyumba, sio kweli
Inawezekana wewe unaweza, labda na wenzako wawili wa tatu, lakini siyo wa kiwango cha kusema kuna wanaume huwa wana tabia ya kuwapa mabint zao majina ya madem zao au ma ex wao. Hiyo haipo kwa wanaume, isipokua kwa hao mnaoweza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…