Kataa katakata mkeo kutoa jina la mtoto wenu wa kiume

Hahahah hio safi ila kwa akili ya mke wangu naona huko ni kumpa mazoezi mi natafta jina litalonipendeza[emoji3] ila liwe zuri, mfano dogo mmoja anaitwa "Candice" hilo jina nilitafta mimi nikampa. Au Jachobed jr yote yake.
Majina ambayo sio common kama hivyo mimi ndio nayapenda. Perfect [emoji3059]
 
Kwetu sote tumepewa majina na baba.

Kasoro ka last born nilipewa chance ya kutoa jina mie first born.
 
Kuna rafiki yangu kwao wamezaliwa wa tano na Baba yao kawapa majina ya maraisi wa zamani wa Afrika, wa kwanza kamuita Samora
wapili kamuita Castro,
watatu Biko
Wanne Bokasa
Watano kamuita Mugabe, na wote kwasaasa wanamaisha magumu tu.
 
Kuna rafiki yangu kwao wamezaliwa wa tano na Baba yao kawapa majina ya maraisi wa zamani wa Afrika, wa kwanza kamuita Samora
wapili kamuita Castro,
watatu Biko
Wanne Bokasa
Watano kamuita Mugabe, na wote kwasaasa wanamaisha magumu tu.
Hahahah balaa zito
 
kuna vitu si vya kugombania kabisa mnaweza mkashauriana tuh
 
Hapana mkuu, huyo binti ni wale vivuruge...anapita mtaani anawambia watu namtafuna, huku sina mpango naye.
Alimsumbua sana gf wangu...na ukweli sikuwahi kumgusa kabisa
Aaaah wapi..... from nowhere aanze tu kukusumbua ?.... Kuna namna hapo..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…