Kataa ndoa. Leo wamepata point 3 ugenini, ilikuwa hivi...

Mwambie huyo jamaa kama ana watoto na huyo malayer . Akomae aseme mali ni urithi wa watoto na ikiwezekana aanze kuwarithisha sasa hivi, aitishe ukoo uweke muhutasari na huku msimamizi akiwa yeye ingali yupo hai
 
pwenti anayebisha atabisha akikaa peke yake atalia kwa uchungu
 
we ni ntu nbad 👍😆
 
Mabroo wanasema mwanamke ni mzuri akiwa sio mkeo.
 
Prenup unalinda mali ulizochuma kabla ya ndoa tu. Baada ya ndoa kila mtu atathibitisha mchango wake kwenye mali kama wanandoa. Na hakuna cha 50/50 kwenye kugawana mali, kila mmoja atapata kulingana na mchango wake.
 
Prenup unalinda mali ulizochuma kabla ya ndoa tu. Baada ya ndoa kila mtu atathibitisha mchango wake kwenye mali kama wanandoa. Na hakuna cha 50/50 kwenye kugawana mali, kila mmoja atapata kulingana na mchango wake.
Tuletee kesi za prenuptial hapa bongo tuzisome?
 
Ndo maana sipendagi wanawake wanaojidai wapole, bora kawe kambea mbea, kamechangamka, kawe kanaongea ongea sana sabab kwa huyo ni rahisi kujua kama anakupenda kweli au la. Hawa wapole wakimya wengi huwa makatili sana.

My first love alikua mpole na mkimya, one week kabla ya ndoa yake alinipa tunda lkn akaja kuolewa, siku namuuliza kumbe alikua na kisirani na mm kwa kisa cha zamani sana ambacho nilidhan kimeisha, sasa ninheoaga pale aisee angenifurahisha mbeleni
 
I'm faced with legal issues on daily basis, nikikwambia hio sheria ya kukaa na dem eti miezi sita ndo nimemuoa ina loopholes naelewa ninachokisema.
Hiyo ya kuishi na mwanamke miezi 6+ kuwa kisheria ni ndoa yalimtokea puani hata Vicky Kamata.
 
Hiyo prenup ni nini? Au tumuulize Ashraf Hakim?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…