Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Issue si umasikini.
Utulivu wa akili na nafsi ni afya pia, masuala ya kufumania texts za ajabu na mambo ya ajabu ni kupeana stress tu.
Kwani usipokua kwenye ndoa ndo utakua umekwepa stress??
Ndo maana nkakwambia ni akili yako tu mkuu.

Kama ni hivyo mnavyowaza basi wazee wetu wasingezeeka pamoja.
Unaoa ukitegea mtaishi kwa raha maisha yenu yote, matatizo yapo tu hata ukiwa single.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…