Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Intelligent businessman usiukimbie uzi wako
 
Za kuambiwa changanya na zako.
 
Kwahiyo kwa takwimu zako sizizo rasmi ni kua wenye matatizo ndoani ni wengi kuliko wenye furaha??

Kumbuka ndoa zinafungwa kila leo, na mapaka sasa ni watu wengi wako ndoani more than 10 yrs kwa raha zao.

Kama nilivosema, maisha hayakosi changamoto mkuu. Wewe kwa kipimo chako umeona kua ukioa mwanamke atakufilisi maana utakua unamlisha na yeye haprovide kitu..

Ila wengine hawaioni ndoa kwa angle hiyo, yeye kupata penzi, kufanyiwa majukumu mbalimbali ya nyumbani, kulea watoto nk anaona vinalingana na thamani anayoitoa kwa matumizi hapo home.

Ni mtazamo tu.
 
Napenda utulivu wa akili na mwili.
Sio kuhusu matumizi, kutokuwa na utulivu wa akili kunapelekea maisha yako kwenda mrama.

Nirudie tena utulivu wa akili ni muhimu, huwezi kuwa na focus na concentration kwenye kazi kama ndoa inasumbua.

Ndio maana nimekuambia matajiri wakubwa kuachana na wake zao ni kukwepa matumizi?

Najua huwezi kunielewa.
 
Ni uoga binafsi mkuu, utulivu wa mwili na akili hauathiriwi na ndoa pekee, kuna mengi yanaweza fanya hivyo hata usipokua na ndoa.

Na pia inatagemea na uwezo binafsi wa kusolve matatizo yako, kama ukipata tatizo linaathiri mpaka kazi yako basi ni kweli hupaswi kuoa, ninyi ndo huwa mnaua wenza wenu.
 
Wazee wa kataa ndoa mna hoja nzito ila mimi ninashauri muwe na watoto... CCM inahitaji wapiga kura huko mbeleni. Nyeto mnazopiga ni hasara kwenye sanduku la kura... mabao yote ya nyeto tunahesabia kama kura zilizoharibika. Chali angu dronedrake kashaharibu kura nyingi sana..
 
Mpaka Sasa ana mabao zaidi ya 100 🤓, ila haongozi kwenye ligi🤣🤓
 
Nyeto zitawaua
 
Yaani niishi mwenyewe si upweke utaniua
Huwa nafurahi sana vile nafika home watoto wananikimbilia aisee tena wote copy yangu vile npe sitting room wananisumbua sumbua,wote wawili wako under 6 yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…