Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Isaac Newton.

Tesla himself

Da vinci

Hao ni baadhi ya wanachama baadhi.

Mfano huyo Da Vinci hakuwahi kuoa na IQ yake ilikuwa inafika 200 na zaidi.

Yesu mwenyewe alikuwa team kataa ndoa.

Watu wenye akili nyingi wanapenda utulivu, na mara nyingi wanakaa na kutafakari mambo kwa upana.
Comrade 😂
 
Ka wajinga vile mnapatwa moto.
Hili si jambo la kukumbushana.
 
Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.

Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.

swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.

maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.

Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02 katibu wa kataa ndoa, dronedrake,
03. Mjumbe ni Loading failed,
04, Mimi ni katibu mwenezi wa Sera za chama Cha kataa ndoa.

KATAA NDOA LINDA MAISHA
YAKO.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKo.
KATAA UNAFIKI WA 50/50

View attachment 2926176
Jaman kataa ndoa nawasalimia jaman, kwa hiyo hamtaki uroda jaman hata wa kinafiki jamani, Mwenyekiti wa kataa ndoa na waliowatalakia wake zao nakusalimia sanaa
 
Back
Top Bottom