Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

kampeni ni kwenye siasa tu ili upendwe na uchaguliwe kampeni yoyote inayotaka kuingilia uhuru wa kibanadamu hiyo haiwezi kuwa kampeni bali ni kuingilia uhuru wa mtu ,kampeni kataa ndoa mbaki na mnavyowaza naninavyowapendeza na sisi wale wenye kuishi na wake zetu na hakuna changamotoo tuishi vile inatupendeza cha msingi tusiingiliane kwenye uamuzi
 

Wengi waendesha hiyo kampeni ni watoto wadogo
 
Mie nipo kwenye ndoa, mwaka wa 5 huu, sijutii, nainjoi, lakin katu siwezi mlazimisha mtu aingie kwenye ndoa, je kuna uhakika gani atapata mke niliye nae?

Tujifunze kuheshimu maoni ya kila mmoja
Fikisha hata 10 kama mimi mkuu , kipindi hicho😁
 

Kabisa.

Isiwe ni jambo serious sana kana kwamba watu wanashindana.
 
hii kampeni ya kiduanzi naiona JF na X uko kuna wadau wanadai ndoa ni utapeli mkubwa.

anyway ni mitazamo yao,pia wanadai kama unapata milk je kwanini ufuge uyo cow.

ni mitazamo yao pia,ila ndoa ni ya mwanaume kamili.
 
Kitendo cha wewe kulala ukweni mpaka ukaweza kumlala mkeo na ukaja kutamba hapa jamvini inaonyesha una mchango mdogo sana kwenye hili taifa
 
hii kampeni ya kiduanzi naiona JF na X uko kuna wadau wanadai ndoa ni utapeli mkubwa.

anyway ni mitazamo yao,pia wanadai kama unapata milk je kwanini ufuge uyo cow.

ni mitazamo yao pia,ila ndoa ni ya mwanaume kamili.
Hakuna cha uana ume kamili hapo , kama upo utaje
 
Kataa ndoa ni itikadi ya kijinga, iliyo nyuma ya hasira za mhanga, bila kufikiri faida zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…