Kataa Ndoa School of Thought, ni upi mtazamo wenu juu ya Masuala haya?

Tatizo ni peace of mind

Ndoa at this moment zimepoteza maana halisi ya ndoa WATU wanaishi ili kulea watoto tu.

If you go broke ,
If ur wife akiumwa ugonjwa wa kutopona mapema you can just see the true color of marriage.


Ushauri
Work hard save ur money
Maintain spiritual Power
Maintain health habit.

In long run , nothing will help you than ur inner efforts towards the happiest life.
 
ajenda hii kataa ndoa iko nyuma ya makundi ya wanaume wafuatao.

wavulana chini ya miaka 20.
wavulana miaka 30 kuendelea ambao hawana ramani yoyote.
walioumizwa na mapenzi kupitiliza wamejikatia tamaa.
ambao wana matatizo ya kutopata uzao,wanatumia kete hiyo kuficha madhaifu yao.
 
Mkuu unaelewa maana ya ndoa kweli.


Ndoa ni taasisi ya kiuchumi iliyoundwa na mwanaume na wa/ mwanamke bikra yenye mrengo wa kumnufaisha mwanamke na kumgandamiza mwanaume siku zote za maisha yake ili kupoteza nguvu kazi ya kiume katika kufikia maendeleo ya kiuchumi ya mwanaume na Taifa kwa ujumla


KATAA NDOA, TUNZA KIBUDA, VIMBA MJINI NA MASHAMBANI ISHI KWA AMANI

nb: watoto tutapata tukitaka
 
Kama yote hayo yanapatikana kwenye ndoa dunia ingekuwa sehemu salama sana kwa binaadamu kuishi. Afrika ingekuwa ni sehemu iliyostaarabika zaidi ulimwenguni
Kataa ndoa wa zamani na wa sasa ndio walio haribu na wanaendelea kuharibu. Familia zinafundisha upendo,huruma na kujali.
Lkn malezi ya mzazi mmoja yana pandikiza chuki miongoni mwa wazazi na watoto.
 
Mkuu uhalisia mwanamke ameumbwa kupokea, fikiria hata kwenye tendo la ndoa au ngono mwanamke anapokea tunavyo toa sisi wanaume.
Mm nadhani changamoto kubwa ilikuja baada ya dunia kukengeuka kuaza habari za 50/50 hapa ndio shida ilipo zaliwa.
Mwanamke anapaswa amtegemee mmewe ndio amani kubwa inakuwepo.
Kwasasa wanawake wengi ni kama wamefunguliwa kutoka kifungo flani wako huru kufanya chochote kuazia kwa wazazi hadi mtaani
 
ndoa ni utumwa kwa mwanaume
 
Ni kwel mkuu ,je wewe upo tayari kuona mwanao wa kike hapati elimu ,wala kazi ya kumwingizia kipato chochote?
 
Atapata kwa wazazi, ni kwamba hawaishi pamoja, sio kwamba wametengana, na hata kama wametengana, atalelewa na mzazi mmoja ama ndugu wa wazazi
Maradhi, watoto, kuna njia za kuzuia
Poa tu hamna kizuizi
rejea hoja no.1
sio lazima kupeana mipango ya kimaendeleo, kuzaa ovyo ni maamuzi ya mtu, wapo wenye familia na wanazaa ovyo
kwa wanaomlea
 
Hii vita siku mkiimaliza mtuambie. Kuna jamaa yangu ka umri kalienda kidogo, maneno yakawa mengi sana. Mwaka jana akapata kazi TRA, hivi ninavyoandika nafuatilia mbuzi kwa ajili ya ka sherehe ka engagement yake na soon ni ndoa.

Msichokijua wengi ni kwamba maisha yamebadirika sana, kama ulibahatika kuzaliwa kwenye chochote kuna wenzio wanajitafuta ili wapate chochote ndio waoe lengo ni kutoitesa familia.

Kijana mwenye akili timamu hawezi kuoa eti mke huja na riziki zake huo ni ukuda sana. Acha nifuatilie mbuzi kijana afanye yake, mnawasema watu hadi wanakosa raha. Kwenye vifua vya vijana wengi kuna maumivu ya kusemwa juu ya haya mambo na chanzo ni uchumi mbovu wa vijana wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…