Kataa Ndoa School of Thought, ni upi mtazamo wenu juu ya Masuala haya?

Ni kweli kuwa Familia/Ndoa kwa sasa zinapitia Changamoto nyingi hasa zinatokana na Kukua kwa haki za wanawake, Usawa wa kifursa kijinsia na utandawazi, lakini bado tunahitaji kama jamii kuwa na mjadala mkubwa kama jamii namna gani Familia inavyoweza kudumu katika dunia iliyobadilika.

Mfano, majukumu ya asili ya mwanamke katika ulimwengu huu wa fursa sawa za kijamii yanatimizwa vipi.
 
Hebu wanaokataa ndoa watupe a very honest opinion apa...ni maisha gan wanayataman kwa hao watoto wanaozaliwa pasipo msing wa familia iliyoimarika (nazungumzia hii single parenting iliyoshika kasi saiv)...ukizaa wa kiume labda nae atakuja kukataa ndoa na kuamua kuzaa tu kama baba ake; ukizaa wa kike utatamani pia vijana wazae nae na kumuacha kweny kundi la single mothers????
Nadhan kataa ndoa ingeenda sambamba na kutozaa.
 
What makes you think children can't internalize these values from unmarried parents?

You think people who are anti-marriage just go around making babies and abandoning them?
 
ukizaa wa kiume labda nae atakuja kukataa ndoa na kuamua kuzaa tu kama baba ake; ukizaa wa kike utatamani pia vijana wazae nae na kumuacha kweny kundi la single mothers????
Ndio, hakuna ubaya

Kadri tunavyozidi kwenda jamii inazidi kua 'anti-establiment' dini na ndoa zinatoweka
 
Kwahiyo shida kwa vijana ni pesa
 
Msingi wa ndoa ni ule ule alioasisi mwanzilishi wake
 
Mkuu bandiko lako limezungumzia sana kuhusu familia na si Ndoa. Nikukumbushe tu inawezekana kabisa kuwa na familia bila ndoa, kulea watoto vizuri kwa maadili safi kabisa bila ndoa. Tunachokikataa ni hiki kifungo NDOA ambacho kwa asilia kubwa kipo kwaajili ya kumfaidisha mwanamke
NDOA NI UTAPELI
 
Kwa hiyo, hii Familia unaifikia na kuijenga vipi bila ndoa i.e KUOANA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…