bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ivo yaanHatutaki ndoa na tuna watoto,tuna pesa na tuna happy life,maisha ni jinsi utakavyotaka yawe. 99.9% of married couples are not happy.
Ila ukweli ni kwamba single parenting inaweza kutoa watu wazuri tu kwenye jamiiHuwezi zaa watoto wote timamu lazima wehu wawepo, lakini Stable family humbeba huyo mwehu sababu ya upendo na umoja wa kifamilia.
Lakini, wengi hapa naona wanachanganya, Family & Marriage kama ulivyo mfumo wowote, its not PERFECT, lakini it's the best we got.
Mkuu nimelelewa kwenye familia bora kabisa ya baba na mama tena familia iliyojaa utulivu na upendo , toka nakua mpaka najitambua sijawahi kushuhudia wazazi wangu wakizozana hata siku moja, in short nimetoka kwenye familia ambayo naweza kuiita the best.Nimegundua kataa ndoa wengi wamelelewa na single parent kwahiyo walisha haribiwa kisaikorojia toka wakiwa watoto ndio maana wanaona wako sahihi bila kujua uzuri wa kulelewa na wazazi wote wawili
Vipi watu wenye tabia ngumu kwenye ndoa na walilelewa na wazazi wote wawili?Mtoto yeyeto aliyelelewa na single parent kisaikolojia hawezi kuwa sawa na aliyelelewa na co parent hata kwenye mahusiano wanashindwa kubalance.
Usiingie ndoa na asiyelelewa na both parents labda kama wewe ni Yesu.
Wengi wanatabia ngumu.
Hii ndio maana halisi ya ndoa na serikali dini na asasi(mashirika ya kimataifa) yamekuja kumdhoofisha mwanaume hapo na kumnyanyua zaidi mwanamke ilihali mpambanaji na anayehakikisha mambo yote yapo sawa katika familia ni mwanaume. LATAA NDOA NAIUNGA MKONONdoa ni nini?, ndoa ni mkataba wa kingono uliopewa nguvu na serikali na taasisi za kidini unaompa manufaa mwanamke na kumkandamiza mwanaume.
HII NDIO YENYEWEKATAA NDOA, TUNZA KIBUDA, VIMBA MJINI NA MASHAMBANI ISHI KWA AMANI
nb: watoto tutapata tukitaka
Vivyo hivyo huwezi kusema zina faida kisa tu zinazalisha changamoto tofauti ama ni sehemu ya changamoto tofauti.Then, huwezi dai kuwa Familia & Ndoa haina faida kisa tu kuna changamoto za kijamii ambazo unakubaliana zinazalishwa na mambo mbalimbali.
Single Parent sio Chaguo bali ni Matokeo hasi ya mifumo ya Ndoa na Mahusiano kufail.Ila ukweli ni kwamba single parenting inaweza kutoa watu wazuri tu kwenye jamii
Kwa maana hiyo well behaved individuals sio lazima wawe matokeo ya familia ya wazazi wawili na bad behaved individuals pia sio lazima wawe matokeo ya single parenting
Ndoa sio Perfect system but it's the best among others and suitable to mankind.Vipi watu wenye tabia ngumu kwenye ndoa na walilelewa na wazazi wote wawili?
Vipi watu ambao wamelelewa na wazazi wote wawili ila wanamatatizo ya kisaikolojia?
Nangoja majibu ya hili swaliHayo Yote Uliyoandika Kwenye Ndoa Za Sasa Hayupo Walifanikiwa Wazee Wetu Tu.
Swali Kwanini Hayo Uliyoandika Yamekuwa Nadharia Kwenye Ndoa Za Sasa?
mkorinto tuoneshe mke wa Yesu au Mtume Paulo aliyewaandikia nyie wakorinto waraka.ajenda hii kataa ndoa iko nyuma ya makundi ya wanaume wafuatao.
wavulana chini ya miaka 20.
wavulana miaka 30 kuendelea ambao hawana ramani yoyote.
walioumizwa na mapenzi kupitiliza wamejikatia tamaa.
ambao wana matatizo ya kutopata uzao,wanatumia kete hiyo kuficha madhaifu yao.
Hayo Yote Uliyoandika Kwenye Ndoa Za Sasa Hayupo Walifanikiwa Wazee Wetu Tu.
Swali Kwanini Hayo Uliyoandika Yamekuwa Nadharia Kwenye Ndoa Za Sasa?
Yesu hakuja kuoa wala kula kula masaa yote kama watu wengine.mkorinto tuoneshe mke wa Yesu au Mtume Paulo aliyewaandikia nyie wakorinto waraka.
Hahahaha wewe una matatizo yako kwenye haso zakoMkuu nimelelewa kwenye familia bora kabisa ya baba na mama tena familia iliyojaa utulivu na upendo , toka nakua mpaka najitambua sijawahi kushuhudia wazazi wangu wakizozana hata siku moja, in short nimetoka kwenye familia ambayo naweza kuiita the best.
Wakubwa zangu walionitangulia kuzaliwa wameoa na wengine wameolewa na wana familia zao safi kabisa ila mimi msimamo wangu ni huo NDOA NI UTAPELI na sitaoa. Na home wanalitambua kabisa hili
Nina watoto wawili mpaka sasa na wako safi kabisa
Hajakuelewa, yeye ali Google wewe umeandika, mtafsirie asilete visingizioWhat makes you think children can't internalize these values from unmarried parents?
You think people who are anti-marriage just go around making babies and abandoning them?
CC: CR7muktadha wa dini huo, sio kila mtu anafuata
familia bila ndoa inawezekana sana tu
Kwa vijana wanaojitambua, shida ni uchumi. Vijana wengi sasa ivi wanajua kuwa maisha ya ndoa bila uchumi ni kuteseka na kuteseka sio maisha. Tafuta uchumi kwanza kama kijana wa kiume ukiona mwanga anzisha familia. Maisha sio yale wazee ya lwenda shamba mama na baba na watoto wakikua wanasaidia, sasa ivi kila kitu ni cash. Aloo vijana wanaogopa kuaibikaKwahiyo shida kwa vijana ni pesa
Unajua mkuu vijana wanataka maisha na uchumi imara suo bora uchumi. Hebu ona huyu jamaa alichokifanya ndio utajua alikua na ndoto zake na sasa zimetimia anaanzisha familia.Kwahiyo shida kwa vijana ni pesa