Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
- #381
Hajui asemalo huyoMfano mimi sio mzinzi kwa sababu sipo kwenye makubaliano yoyote ya kimahusiano
Hajui asemalo huyoMfano mimi sio mzinzi kwa sababu sipo kwenye makubaliano yoyote ya kimahusiano
sample ya bishop Moses kulola👌Sample ya kina kiboko ya wachawi
ni kweli kabisaHajui asemalo huyo
Msaliti hasemehewina hataki kuyajenga hata kumsamehe mwenzake
unamsamehe unamuacha aende alipochaguaMsaliti hasemehewi
Ndio maana tuka amua kuwa kataa ndoaunamsamehe unamuacha aende alipochagua
Au wewe ndio pastor Tonysample ya bishop Moses kulola👌
haiwezi kuhalalisha kwa watu wote kuwa wakatae ndoa sio kila mtu anakutana na wasaliti au watu wabaya, kukosewa kwako sio wote watasalitiwa kwasababu kila mmoja wetu tumekulia mahali tofauti ,tamaduni tofauti, majukumu yetu hayafanani ,vipato pia havifanani na sehemu tunapokutana na wenza wetu pia ni tofauti,so swala la ndoa halishauriki kila mmoja wetu ana yake anayokutana nayoNdio maana tuka amua kuwa kataa ndoa
Ndio maana tukachagua kataa ndoa, wewe ukawa kubali ndoa simplehaiwezi kuhalalisha kwa watu wote kuwa wakatae ndoa sio kila mtu anakutana na wasaliti au watu wabaya, kukosewa kwako sio wote watasalitiwa kwasababu kila mmoja wetu tumekulia mahali tofauti ,tamaduni tofauti, majukumu yetu hayafanani ,vipato pia havifanani na sehemu tunapokutana na wenza wetu pia ni tofauti,so swala la ndoa halishauriki kila mmoja wetu ana yake anayokutana nayo
mengine siwezi kujaji ila nachojuwa ni kwamba Mungu huangalia mioyo yetu na dhamira ,mavazi mabovu siyaungi mkono maana huamsha hisia kwa wengine sasa kwanini ufanye hivyoAu wewe ndio pastor Tony
Kanisani kwako nasikia
Una dress unavyotaka
Mungu haangalii mavazi bali moyo et😎
Umuhimu wake upo wapi? Na uanaume wa kweli upoje kuhusiana na ndoaNdoa ni muhimu kwa mwanaume wa kweli.
safi mkuu ninakupongeza kwa kulitambua hili ibaki hivyo tuNdoa ni muhimu kwa mwanaume wa kweli.
safi mkuu ninakupongeza kwa kulitambua hili ibaki hivyoNdoa ni muhimu kwa mwanaume wa kweli.
sawa mkuu pasipo shakaNdio maana tukachagua kataa ndoa, wewe ukawa kubali ndoa simple
Yaap! Mkuu hiyo ndiyo hatua ya mwisho ya mwanaume wa kweli👊safi mkuu ninakupongeza kwa kulitambua hili ibaki hivyo tu
Mkuu nimezaliwa ndani ya ndoa ya wazazi wangu wote wawili nimekuwa nikiona umuhimu wa baba yangu.Umuhimu wake upo wapi? Na uanaume wa kweli upoje kuhusiana na ndoa
Ndoa za sasa sio kama za zamani mkuu, nilikua kwenye ndoa nikawa goigoi kuliko nilivyo sasa , watoto wangu nawalea mwenyewe na hawakosi kitu na pengine wanaweza kuwa bora sana kuliko hata wa wengne wenye ndoa zao huko mashuleni mwao.Mkuu nimezaliwa ndani ya ndoa ya wazazi wangu wote wawili nimekuwa nikiona umuhimu wa baba yangu.
Umuhimu wa mama yangu,niliona jinsi baba yangu ile man's spirit inatoka kwenye mdomo wake pale ambapo ninakuwa nimekosea,ata mama akikosea naweza kusema bila hayo yote nisingekuwa mimi.
Nimekuwa ndani ya ndoa nakuona upendo jinsi unavyokuwa balanced kwa mama na baba umenishape kuwa mimi hivi nilivyo nipo, proud na wazazi wangu.
Kwa hayo mafupi na mazito nimeona umuhimu wa ndoa ndani ya mwanaume na mwanamke.
Kumbe ndoa za sasa si kama zamani ina maana unatambua ndoa za zamani thamani yake ilikuwa vipi.Ndoa za sasa sio kama za zamani mkuu, nilikua kwenye ndoa nikawa goigoi kuliko nilivyo sasa , watoto wangu nawalea mwenyewe na hawakosi kitu na pengine wanaweza kuwa bora sana kuliko hata wa wengne wenye ndoa zao huko mashuleni mwao.
Sijapinga wewe kuoa wala hilo hainisumbui kitu , ila kusema kukamilika kama mwanaume, hakuna kitu kama hicho wapo wadogo zetu wameoa tumewasaidia kimaisha ili walinde ndoa zao , hivyo hayo mambo yakujifanya kukamilika sio kweli.Kumbe ndoa za sasa si kama zamani ina maana unatambua ndoa za zamani thamani yake ilikuwa vipi.
Nashukuru kwa kutambua ilo japo kwa ufupi.
Pia la mwisho na kumalizia kumbe back in time umewahi kuwa kwenye ndoa,ooh na ukakutana na mauza uza kwenye ndoa yako,pole sana mkuu
Sasa kama ni hivyo mkuu wewe ulishaonja tamu na chungu ya ndoa na ukapata fungu chungu kama ulanzi uliolala(mkangafu).
Vipi kwa mimi ambae bado sijaonja tamu wala chungu kama uliyoonja wewe,ni vipi nikaamimi kile unachokimaanisha vipi kama mimi fungu langu likawa tamu na sio chungu kama wewe.
Umedai watoto wako hawakosi kitu,hahaha ni uongo mkubwa sana ni vile wewe ni mzazi hawawezi kukuambia ila kiukweli ata nilivyokuwa shule nilikuwa najiona king pale naona leo kwenye kikao kaja mama kesho kwenye maendeleo ya shule kaja baba.
Iceberg9
Aya sawa mkuu nimekupata.we kataa ndoa ni utapeliSijapinga wewe kuoa wala hilo hainisumbui kitu , ila kusema kukamilika kama mwanaume, hakuna kitu kama hicho wapo wadogo zetu wameoa tumewasaidia kimaisha ili walinde ndoa zao , hivyo hayo mambo yakujifanya kukamilika sio kweli.
Binafsi nafurahi sana maisha yangu ya sasa .