Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Mngekua mnaogopa na kukataa uzinzi hivi kama mnavyokataa na kuziogopa ndoa ahh basiii itoshe kusema mngekua watoto wazuri sana 😂😂😂,ila mmeamua kuchagua njia mbovu, mwenye mawe aje namsubiri hapa
Utakataa vipi ndoa halafu usiwe mzinzi?

Neno mzinzi linakufa kabisa kama sio mfuasi wa ndoa na makubaliano ya kimahusiano
 
Back
Top Bottom