Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
tunakua watu wenye lugha moja sio kila siku tunapishana kauli, na Mungu (Mt 5:9Hivi mlio oa mkishawishi watu waoe huwa mnapata faida gani😅
Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu)
tunakua watu wenye lugha moja sio kila siku tunapishana kauli, na Mungu (Mt 5:9Hivi mlio oa mkishawishi watu waoe huwa mnapata faida gani😅
Usijali hili naliweka sawa vere soon😎Kwenye kipengere cha kunigawa mama 😂
Ili mladi umalizie kile kibanda chako
Na usipo kimaliza na mvua hiii kitasombwa na mafuriko
Nikimpata yule padri tu baaasi🙌🏾acha mama aje atoe sadaka hela ya kibanda,najua mtajenga ghorofa mkufunguliwa
Mno 😅lini hiyo hicho kikao sikuwepo mbona ndiyo maaanaa kanapenda bangi 🤣🤣🤣
ila mtoto mtata wewe🤣🤣 wazazi wako wana kazi mbili😂😂Siwezi kutoa siri bila ruhusa
My dady katoa go ahead niseme
Nina heshima sanaa😌
Kwa hiyo unafanya double chance sio😁Mchungaji sio hivyoo..😫
nakupambania ngoja tuone labda utapona 😂😂Nikimpata yule padri tu baaasi🙌🏾
hapo ni home win or draw sheria za kamari unazijua kabisa halafu unamuuliza 🤣🤣🤣Kwa hiyo unafanya double chance sio😁
atatoa na siri ya padri 🤣🤣Usijali hili naliweka sawa vere soon😎
Ndio nini hii?Kwa hiyo unafanya double chance sio😁
Kwani naumwa? Kihorofa ni chap kwa haraka! Ofcoz sadaka ya shukrani lazima niilete☺️💃🏽nakupambania ngoja tuone labda utapona 😂😂
Sijui anakwmaba wapi?hapo ni home win or draw sheria za kamari unazijua kabisa halafu unamuuliza 🤣🤣🤣
Hatolielewa hili ni mimi na wewe tu😎atatoa na siri ya padri 🤣🤣
ukitoa sadaka usiniangalie bata nayokula mimi mchungaji wako utakua umetoa sadaka manung'uniko utaniletea balaa🤣Hahah huwa huoni tunavyosemwa tunajimaliza mpaka nauli tunakosa huku nyie wachungaji mnazunguka na mavieitee🙃