ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Heh🙌anakudanganya huyo mbona kadi tunazo
Nachoka mimi
Heh🙌anakudanganya huyo mbona kadi tunazo
Hahaha kwa nini nitafute mkuu?tafuta sasa wa kuishi nae kama mliachana marudiane mnasameheana tu maisha yanaenda usikaze sana mwishoni sote dunia tutaiacha,sote sio wakamilifu au unasemaje mzee
unakua salama zaidi mkuu😂Hahaha kwa nini nitafute mkuu?
Anae huyounakua salama zaidi mkuu😂
🤣 kuyatafuta matatizo , kwa kupenda na ulikua na amani tu ila ndio maisha😁unakua salama zaidi mkuu😂
😂😂😂 ahh sasa mlete kanisani kuna maombi maalum ya mabinti lazima taifa liwe na watoto wazuriNiseme ili soko langu liendelee kuwa gumu akose baba wa kambo?😃
Mapema sana kesho!!! Sadaka ya shukrani muhimu😁😂😂😂 ahh sasa mlete kanisani kuna maombi maalum ya mabinti lazima taifa liwe na watoto wazuri
usikaze sana mkuu si unajua hawa ni dhaifu, msamehe uwe unkula chako kwa raha na kujiachia,utakae chukua kwa replacement ndiyo bomu zaidi 😂🤣 kuyatafuta matatizo , kwa kupenda na ulikua na amani tu ila ndio maisha😁
sadaka yako hile ya kujimaliza ila wewe ujue umepinda huwa nacheka sana coment zakoMapema sana kesho!!! Sadaka ya shukrani muhimu😁
Kwenye kipengere cha kunigawa mama 😂Mapema sana kesho!!! Sadaka ya shukrani muhimu😁
Naogopa😂Sema tu wala usijali nimekuruhusu
Hivi mlio oa mkishawishi watu waoe huwa mnapata faida gani😅usikaze sana mkuu si unajua hawa ni dhaifu, msamehe uwe unkula chako kwa raha na kujiachia,utakae chukua kwa replacement ndiyo bomu zaidi 😂
Nimekuruhusu unaogopa nini sasaNaogopa😂
acha mama aje atoe sadaka hela ya kibanda,najua mtajenga ghorofa mkifunguliwaKwenye kipengere cha kunigawa mama 😂
Ili mladi umalizie kile kibanda chako
Na usipo kimaliza na mvua hiii kitasombwa na mafuriko
Hahah huwa huoni tunavyosemwa tunajimaliza mpaka nauli tunakosa huku nyie wachungaji mnazunguka na mavieitee🙃sadaka yako hile ya kujimaliza ila wewe ujue umepinda huwa nacheka sana coment zako