Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Wanaume mostly sex haiko attached na feelings.
Kama ww pia unaweza kukulana na mwanaume na ukapita hivi na ukafanya for fun.

Basi sawa. Namuachia Baba ako MIN-me atakuelekeza zaid 😂😂😂😂
🤣katoto ka 2008 ila Kameanza kulaumu wanaume 🤣🤣 haka kiuhalisia kama ni kunanilii kangetakiwa kawe kame naniliwa mara moja tu
 
Mngekua mnaogopa na kukataa uzinzi hivi kama mnavyokataa na kuziogopa ndoa ahh basiii itoshe kusema mngekua watoto wazuri sana 😂😂😂,ila mmeamua kuchagua njia mbovu, mwenye mawe aje namsubiri hapa
Mimi nimemkataa shetani na kazi zake zote
 
Back
Top Bottom