Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Peace and money feel great for a while, but most men still want a woman eventually.

Not the dramatic headache type, but someone who actually adds value instead of chaos.

Because the right relationship does not destroy your peace.

It should make life better, not feel like a second job.@iaMansrule

By the End of the Day , We Need them, the focus should be on finding the right one . And I do Believe there are many out there, Waiting eager for the right person.
 
Mwanamke hatakiwi Kucheat.
😂😂😂😂

Ukiwa na mentality namna hii kwamba ukihisi jamaa ana mtu nje na ww ukaamua kulipiza kwa X zako na wanaume wengne.
basi kaa tu kwenye Kataa ndoa. Ndoa huiwez😂😂😂😂.
Bora ni baki upande huu wa kataa ndoa ni upuuzi wa kiwango cha mwsho
Kujua mume wako ana ku cheat na kuendelea kujifanya like hakuna kilichotokea

Kwann wewe una haki ya ku cheat?
Hiyo haki kakupa nan?
Mwanamke na moyo upi?
Wewe una moyo upi?

Nakataa ndoa kwa sababu nikikutana na mwanaume anaejihesabia kua ku cheat ni kawaida na bado ukimdaka analeta ngojera na dharau siwezi kwa sababu naweza ku m R I P
Nachuki dharau na moja wapo ya dharau ni mwanaume kuhisi Mwanamke hana moyo wa nyama🚮🚮🚮
 
Yani uue kisa mtu kaamua kutumia kiungo chake??
 
Listen to me carefully, brooo.

When a man is single, his life suddenly becomes very simple and very quiet.

No emotional rollercoasters, no random arguments about some tiny bullshit that somehow becomes a three hour discussion.

You wake up, handle your work, hit the gym, make your money, and nobody is blowing up your phone asking why you did not reply in twelve minutes.

Peace is a real thing once you experience life without constant relationship drama.

And yeah, your wallet definitely notices the difference too.

No expensive dinners every weekend, no surprise gifts, no “let’s go shopping together” missions draining your bank account.

Your money stays where it belongs instead of slowly evaporating into relationship maintenance.

A lot of guys realize this only after a messy breakup when their stress level suddenly drops.

Life becomes predictable again, in a good way.

You control your schedule, your priorities, and your energy.

Peace and money feel great for a while, but most men still want a woman eventually.

Not the dramatic headache type, but someone who actually adds value instead of chaos.

Because the right relationship does not destroy your peace.

It should make life better, not feel like a second job.@iaMansrule
Wow🫢 so we are the dramatic ones now lol?

Why not look for the right chick that matches ur energy gentleman instead of putting the blame on all the ladies out there?
 
Bora ni baki upande huu wa kataa ndoa ni upuuzi wa kiwango cha mwsho
Kujua mume wako ana ku cheat na kuendelea kujifanya like hakuna kilichotokea

Kwann wewe una haki ya ku cheat?
Hiyo haki kakupa nan?
Mwanamke na moyo upi?
Wewe una moyo upi?

Nakataa ndoa kwa sababu nikikutana na mwanaume anaejihesabia kua ku cheat ni kawaida na bado ukimdaka analeta ngojera na dharau siwezi kwa sababu naweza ku m R I P
Nachuki dharau na moja wapo ya dharau ni mwanaume kuhisi Mwanamke hana moyo wa nyama🚮🚮🚮

Na hapa ndio kuna tatizo.

Mfano, last week tulikaa sehem na mke wa mtu (ameashika sept 2025 ) kisa kagundua jamaa ana kimada nje na jamaa amelowea kwa upande ule. Ndoa ya kiislam. Talaka ikatoka mapema tu. Mwanaume pia alivyoona mwanamke kapandisha na kudai talaka . Akatoa fasta ili ale raha na Kimada.

hiyo juz huyo dada amekuja Bar kukaa na Jamaa ake anaemdinua sasahivi ambaye nae ni mume wa mtu. 😎😎😎😎

Hebu soma mara 2 kwanza.
Yaan amekimbia mwanaume aliyecheat kwa kudai talaka ili aje kuwa mchepuko kwa mume wa mtu. And she comfortable kabisa.

Kuna namna ya kusolve mambo kama haya. Ulizia Wamama zetu waliwezaje.

Ishu sii kulipiza kisasi wala kususa.
There is another way.
 
Ni uchaguzi wako , ila kujidanganya kuna mwanaume wa peke yako sahau, hata mwanamke wa pekee yangu hayupo
Sa ndio maana nikasema kila mtu akae kwake tunakutanq time ya mizagamuo tu na kupeana uhuru wa kila mtu ku change radha akitaka

Mkifunga ndoa hayo mambo ya kufatulia haya upukiki ndio utasikia habari za gunia la mkaa
 
Kuna mahali itafika hata hata wakukuzagamua utakosa , hiyo kitu ujue ina expire date yake 😁 inabidi sasa uhonge
 
Na hapa ndio kuna tatizo.

Mfano, last week tulikaa sehem na mke wa mtu (ameashika sept 2025 ) kisa kagundua jamaa ana kimada nje na jamaa amelowea kwa upande ule. Ndoa ya kiislam. Talaka ikatoka mapema tu. Mwanaume pia alivyoona mwanamke kapandisha na kudai talaka . Akatoa fasta ili ale raha na Kimada.

hiyo juz huyo dada amekuja Bar kukaa na Jamaa ake anaemdinua sasahivi ambaye nae ni mume wa mtu. 😎😎😎😎

Hebu soma mara 2 kwanza.
Yaan amekimbia mwanaume aliyecheat kwa kudai talaka ili aje kuwa mchepuko kwa mume wa mtu. And she comfortable kabisa.

Kuna namna ya kusolve mambo kama haya. Ulizia Wamama zetu waliwezaje.

Ishu sii kulipiza kisasi wala kususa.
There is another way.
Kwahiyo ulitaka avumilie ili iweje
Kama hana raha tena na huyo mumewe ang'ang'anie 😂

Kama huyo mume wa mtu ana m offer vitu zaidi ya huyo dear x je na ana amani lol 😆

Iko hivi fanya kinachokupa furaha mwenyewe watu hawana shukran
 
Kuna mahali itafika hata hata wakukuzagamua utakosa , hiyo kitu ujue ina expire date yake 😁 inabidi sasa uhonge
Nita expire kwa wale naowataka labda kua nao ila siwezi kosa hata mpalilia bustani wakunipa ma lovee😂
Nb : this time kuna nyingi za kufurahia maisha wewe tu
 
Back
Top Bottom