Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Salaam wakuu, kwanza naomba ifahamike kataa ndoa ni chama chenye kulinda haki na maslahi ya jinsia zote zinazo tambulika kisheria.
(me na ke).

Chama hiki kili anzishwa baada ya kushamiri kwa upigaji, ukandamizaji wa haki na ufekiji wa hisia ili kujitengenezea mazingira ya kumdhurumu au kumdhuru mwingine katika taasisi ya ndoa.

Mimi kama katibu mwenezi wa kataa ndoa, naendelea kuwakumbusha kuendelea kuwa macho dhidi ya hisia feki, mahusiano feki na mitego yote itakayo tumika kukuingiza kichwa kichwa katika ndoa.

Maana kipindi hiki talaka ni nyingi mno, kugawana mali ambazo ni jasho la mtu mmoja lime shamiri sana kudadadeki.

watu wana lia na kusaga meno huko kwenye ndoa, ni vile wana roho za paka wanaona wafe na tai shingoni.

Kataa ndoa linda maisha yako,
Kataa ndoa linda uhuru wako,
Kataa ndoa linda mali zako.

Soma pia :
Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)


Kuna vitu mtu anaweza kujitafutia mwenyewe lakini kamwe hawezi kujitafutia watu wema.
 
Kataa ndoa linda maisha yako
Kataa ndoa linda uhuru wako

Magar yanapata ajali kila siku.
Either kwa Dereva kusababishiwa, kusababisha au ubovu wa gari.

Lakin hii haifanyi tusipande magari.
Kwasababu sio Yote yatapata ajali.
Magar mengne yatapita njia ya rough road, mengne Lami mwanzo mwisho, mengne mabonde na milima.

Ila kila safar ina Ladha yake .na hayo ndio Maisha

Kwahiyo Watu waoane. Waheshimiane. Ila ikitokea mwenza mmoja kakuvunjia heshima bas mnatengana. Haujazaliwa nae. Na % kubwa Hautakufa nae.

Vijana Oeni. 😂😂😂😂
Tena Oaneni mkiwa bado vijana 25-35 yrs.

Puuzeni hii serikali ya Kataa ndoa na Nyeto Gang 😂😂😂😂😂😂
 
Anaepinga chaputa sio rijali jitathimini mkuu

Soma comment yangu tena kwa mara ya pili.
Utajua kuwa comment yako iko nje na mawazo yangu.

Hoja yangu ni kuwa Sio ndoa Zote zina matatizo.

Pia nikirud kwa comment yako. Utajichukulia sheria mkonon had lini?.
Mfano una 40's na bado unapanda mnazi mwa mkono mmoja?.
 
Hawaoi ila wanapiga mademu nje ,no string attached.

Mpaka miaka mingap?.
Au ndio Maisha yote uliojaliwa kuishi Duniani?.

Vip kuhusu Watoto?.
Au utazaa na wanawake tofaut tofaut.
Utawahudumia?.
(kama kuna kitu kigumu ni kuhudumia na kusomesha mtoto ambaye umezaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa au anayekaa kwa Mzaz mmoja au Bibi na Babu), ni headache sana.
Na gharama inakuwa mara 2 zaid kulinganisha na kama akiwa under your Wings full time.

The Choice is Yours.
We got this Life Once.
 
Mpaka miaka mingap?.
Au ndio Maisha yote uliojaliwa kuishi Duniani?.

Vip kuhusu Watoto?.
Au utazaa na wanawake tofaut tofaut.
Utawahudumia?.
(kama kuna kitu kigumu ni kuhudumia mtoto ambaye umezaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa), ni headache sana.
Na gharama inakuwa mara 2 zaid kulinganisha na kama akiwa under your Wings full time.

The Choice is Yours.
We got this Life Once.
Samahani wewe umeoa kaka ?
 
Hongera sana hope una enjoy

I cant complain kwakweli.

Ndoa ni Kuheshimiana, Kupendana na kusameheana.
Na kila mmoja ajitahidi kadri ya uwezo wake kufanya obligation zake . (Mume afanye ya mume na mke fanye anayopaswa kufanywa na mke).

Kingne kuvunjiana heshima na Usalit ndio chanzo cha ndoa nying kuwa na mfarakano.

Kwa mwanamke . Mke kwa wakat fulan anajua tu kuwa mwanaume atakuwa ana kimada nje . But as long as Unamuheshim , unampa Anachostahili kama Mke na humuonyeshi , bas Ataendeleza kukuheshim pia kama inavyopaswa kumuheshim Baba. Na Maisha yatasonga.😂😂😂😂🤣
 
Magar yanapata ajali kila siku.
Either kwa Dereva kusababishiwa, kusababisha au ubovu wa gari.

Lakin hii haifanyi tusipande magari.
Kwasababu sio Yote yatapata ajali.
Magar mengne yatapita njia ya rough road, mengne Lami mwanzo mwisho, mengne mabonde na milima.

Ila kila safar ina Ladha yake .na hayo ndio Maisha

Kwahiyo Watu waoane. Waheshimiane. Ila ikitokea mwenza mmoja kakuvunjia heshima bas mnatengana. Haujazaliwa nae. Na % kubwa Hautakufa nae.

Vijana Oeni. 😂😂😂😂
Tena Oaneni mkiwa bado vijana 25-35 yrs.

Puuzeni hii serikali ya Kataa ndoa na Nyeto Gang 😂😂😂😂😂😂
Spitting shit, idumu Chaputa gang na kataa ndoa.
 
Back
Top Bottom