Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Naam tuna jua umesha owa mkuu, uzi ujao nita zungumzia mbinu hii 😂😅
Mimi naishi uchumba sugu kama ndege ila sijaoa mkuu.... Kila siku nakua mgeni sikamilishi ile wanaita masaa 24 siku 7 za week ndani ya mwaka mmoja mzima ili ndoa iwe halali hata kama haijafungwa.. na miss na kudesapear.

Hii ndo mbinu peke ya kuwawin hawa viumbe
 
Kuna amechinja mtoto huko na kujiua.Mke kabaki
Huyo ni mwanaume mpumbavu sana kuwahi kutokea.. angedeal na mke aachane na mtoto asiye na hatia.. wewe fikiria ile childhood akiwa na furaha na tabasamu alafu unampitishia kisu shingoni pasi na yeye kuwa na uwezo wa kujitete.. na ya mkini alivyo mshikia kisu alitabasamu pia akijua ni michezo ya kitoto kumbe ndiye anachinjwa.. hapo huyo mwanaume mpumbavu alitakiwa adeal na mwanamke kiakili sana na ikibidi kwa busara na ujasiri wa kiume amwachie mtoto haki ya kuishi na mama yake.
 
Kila mtu yuko na mawazo yake hapa Duniani.
Huwa najua hakuna upumbavu kwa watu ni sisi.Kuua ni jambo jepesi sana linalotaka mgandamizo mdogo sana na kuchochoea homoni ndani ya mwili..ndio maana tunashauriwa kulinda ndimi zetu.
 
Back
Top Bottom