Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

ni umaskini mbaya sana gentleman,
kwamba huna kiwanja, huna nyumba, huna shamba, huna pesa, huna mke, umri umesonga, una digrii lakini huajiriki na unateseka kwa upweke na hatimae mvi na upara vinakupata ukiwa kwa wazazi, dah.

vijamaa vya 2000 vinatusua maisha kiulainiiiiii

kataa ndoa ni uzembe na mateso makali ya kisaikolojia
Mkuu vipi yule demu wakoo wa Tabata alishasafisha mtaro wake???
 
Salaam wakuu, kwanza naomba ifahamike kataa ndoa ni chama chenye kulinda haki na maslahi ya jinsia zote zinazo tambulika kisheria.
(me na ke).

Chama hiki kili anzishwa baada ya kushamiri kwa upigaji, ukandamizaji wa haki na ufekiji wa hisia ili kujitengenezea mazingira ya kumdhurumu au kumdhuru mwingine katika taasisi ya ndoa.

Mimi kama katibu mwenezi wa kataa ndoa, naendelea kuwakumbusha kuendelea kuwa macho dhidi ya hisia feki, mahusiano feki na mitego yote itakayo tumika kukuingiza kichwa kichwa katika ndoa.

Maana kipindi hiki talaka ni nyingi mno, kugawana mali ambazo ni jasho la mtu mmoja lime shamiri sana kudadadeki.

watu wana lia na kusaga meno huko kwenye ndoa, ni vile wana roho za paka wanaona wafe na tai shingoni.

Kataa ndoa linda maisha yako,
Kataa ndoa linda uhuru wako,
Kataa ndoa linda mali zako.

Soma pia :
Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

Ndoa ni gereza la kiraiani kwa mwanaume ila kamwe usiishi bila mwanamke.... Sijasema ufunge ndoa na ikikubidi hakikisha una cheza na uchumba sugu ila baadhi ya siku uwe una miss/desapear ili isiwe ndoa halali
 
Naam tuna jua umesha owa mkuu, uzi ujao nita zungumzia mbinu hii 😂😅
 
Back
Top Bottom