Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Kulewa si dhambi,, hiyo ni starehe kama kula biriyani vile.
shida kijana akiingia huko sijui na ubongo wananyofoa?????
Kuna kijana wa dada yangu marehemu anataraji kuoa na mchungaji wao anasema hakuna haja ya vipimo kwa Mungu wao hakuna magonjwa!!!.
Hao ni wajinga!! Kuokoka sio tatizo! Tatizo linabaki kwa waumini au baadhi ya viongozi wa kanisa fulani! Ni ujinga wao hao kwakweli😅
 
Ndoa ni makubaliano ya Mwanamke na Mwanaume kuishi pamoja au kua na mapenzi ya pamoja,mapenzi ambayo yanatambuliwa na Polisi na Mahakama,

Watu hao hukubaliana kuishi pamoja na kutatua matatizo yatakayo tokea kwenye maisha yao ya ndoa,matatizo ambayo yasingetokea kama wasingeoana.
Then Talaka inakuja kutoa majibu kuwa matatizo yaliyoonekana ndani ya ndoa ni hayawezekani kutatulika mkiwa ndani ya ndoa.

Ni sawa na kujaribu kusukuma gari bovu ukiwa upo ndani yake.
 
Back
Top Bottom