ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Ili nionekane sijapigwa matukio makubwa ilibidi nikubaliane na wewe 😂🙌 au sio 🏃♂️Dah yaan wamekupiga matukio had una moyo Solid namna hii?.
Dah.
Ili nionekane sijapigwa matukio makubwa ilibidi nikubaliane na wewe 😂🙌 au sio 🏃♂️Dah yaan wamekupiga matukio had una moyo Solid namna hii?.
Dah.
Kuna mahali itafika hata hata wakukuzagamua utakosa , hiyo kitu ujue ina expire date yake 😁 inabidi sasa uhonge
Ni sawa ila bado wewe ni binti mdogo sana kuvurugwa hiv ,🤣 .Nita expire kwa wale naowataka labda kua nao ila siwezi kosa hata mpalilia bustani wakunipa ma lovee😂
Nb : this time kuna nyingi za kufurahia maisha wewe tu
😢Kosea kujenga, utabomoa, kosea kuchagua nguo uta igawa.
Ila kosea kuoa au kuolewa, wee lazima ujue kijapani
Bhana tokaaaaNa akifika hiyo stage anahonga vijana. Vi Ben 10. Maana atakuwa mshangazi.
Na sisi tutamkumbusha tu post zake za JF alizokuwa anaponda Mishangazi kwenye uzi ule wa shemej Seran 😂😂😂😂
Baba we niacheNi sawa ila bado wewe ni binti mdogo sana kuvugwa hiv ,🤣 .
Tufanye ndio nimevurugwaBinti kavurugwa mdogo sana😁 madhara ya kuionja la tatu b
Mimi nilioa ,sasa hivi nimepumzika tu , ila nitaingia tena kipindi cha piliBaba we niache
Wewe mwenyewe baba angu hujaoa mi nina au una mama wa kambo kisiri siri😂
Binti kavurugwa mdogo sana😁 madhara ya kuionja la tatu b
Usichukie wewe ni binti yangu tulia nikupe somoTufanye ndio nimevurugwa
Hii ni nzuri kwako😂
Kila kheri dady hakikisha nyama ni nyingi na 🍺Mimi nilioa ,sasa hivi nimepumzika tu , ila nitaingia tena kipindi cha pili
Aliwe nan?Shida naona anashindana na Wanaume .
hata mahusiano ya kawaida Msichana ukijidai unampanda mwanaume kichwan hawez kukaa. Atakukula na atasepa.
there is a way. Aulize wanawake wenzie wanaoweza wanawezaje
Yeye haujui humu kuna watu wameoana kabisa tena wametokea humu humuShida naona anashindana na Wanaume .
hata mahusiano ya kawaida Msichana ukijidai unampanda mwanaume kichwan hawez kukaa. Atakukula na atasepa.
there is a way. Aulize wanawake wenzie wanaoweza wanawezaje
Baba ako MIN-me ana mitala mingi na mama zako wametulia,Baba we niache
Wewe mwenyewe baba angu hujaoa mi nina au una mama wa kambo kisiri siri😂
Neno lako ni amri babaUsichukie wewe ni binti yangu tulia nikupe somo
Huyu baba kumbe wa moto na sijui😂
Hongera kwaoYeye haujui humu kuna watu wameoana kabisa tena wametokea humu humu
Nasema utaolewa tu , wewe bado ni katoto kadogo kutamka maneno hayoHongera kwao