ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Sawa mchungaji wa bwanamengine siwezi kujaji ila nachojuwa ni kwamba Mungu huangalia mioyo yetu na dhamira ,mavazi mabovu siyaungi mkono maana huamsha hisia kwa wengine sasa kwanini ufanye hivyo
Kawaida tuAya sawa mkuu nimekupata.we kataa ndoa ni utapeli
Sisi wengi ngoja tuzitafute ndoa.
Ndoa ni makubaliano ya Mwanamke na Mwanaume kuishi pamoja au kua na mapenzi ya pamoja,mapenzi ambayo yanatambuliwa na Polisi na Mahakama,
Watu hao hukubaliana kuishi pamoja na kutatua matatizo yatakayo tokea kwenye maisha yao ya ndoa,matatizo ambayo yasingetokea kama wasingeoana.
Umelala usiku uko tungi lake, unakuta anafunua boxer anashika mjegejo na kuugeuzageuza anaangalia kama umetoka kutomb*. Wanawake bhana.Una shituka usiku, unakuta ana kumulika na tochi ya simu usoni!
Huu wito duniani ni kasheshe!ila wito unapigwa vita sana viongozi wa dini bila kusimama imara 😂😂😂😂😂 inakula kwake,
King'ang'anizi hata upigwe matukio😀Mwenzio huyu kenge wangu tunajuana... Dishi langu analijua vizuri
Yaani nikimfuma hatuachani hilo vagi lake mchepuko ataondoka tu. Nikifuma kila siku napita na mauzo nikimkuta baa hilo vulumai lake napasua meza atalipa na nyumbani tunaenda mizagamuo kama yote. Mwenzio mie nimepiga muhuri wa kuachwa kwa kifo tu. Nimevumilia sasa nakula matunda ya ndoa hayanikabi na hatoki mtu hapa.
Mwanaume bila kuwa ndege ndani ya nyumba bado hujawa mwanaumeKumbe wanawanyoosha eeh?😆 mpaka unaishi kama ndege pori😅
Shwari mkuu, inakuwaje pande hizo?Niaje bro
Exactly ukitembeza Rungu kama Comrade kipepe lazima Kono La Nyani litambae na BITI ,ni Kazeze ,Mgeni ameingia.Na sio tu kila mademu,ni demu mmoja tu asiye kila sehemu.
Si unajua mgeni kaja kutumaliza,ni kazeze, kono la nyani wee
Kama kipato kinaruhusu Ndoa muhimu.Mpaka miaka mingap?.
Au ndio Maisha yote uliojaliwa kuishi Duniani?.
Vip kuhusu Watoto?.
Au utazaa na wanawake tofaut tofaut.
Utawahudumia?.
(kama kuna kitu kigumu ni kuhudumia na kusomesha mtoto ambaye umezaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa au anayekaa kwa Mzaz mmoja au Bibi na Babu), ni headache sana.
Na gharama inakuwa mara 2 zaid kulinganisha na kama akiwa under your Wings full time.
The Choice is Yours.
We got this Life Once.
Mgeni ana tumaliza, ehh majaliwa nisaidieExactly ukitembeza Rungu kama Comrade kipepe lazima Kono La Nyani litambae na BITI ,ni Kazeze ,Mgeni ameingia.
Ehee Mkumwena nisaidiee!! Mwenye shati la kitenge lenye mabaka ya kenge , pili ana kibito tinted mziki mzito ....Ni KazezeMgeni ana tumaliza, ehh majaliwa nisaidie
Hahaha noma sanaEhee Mkumwena nisaidiee!! Mwenye shati la kitenge lenye mabaka ya kenge , pili ana kibito tinted mziki mzito ....Ni Kazeze
Team kinganga nimechagua ku solve yaliyopo kuliko kuongea mapya ya kurekenibishaKing'ang'anizi hata upigwe matukio😀