Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
-
- #61
Mkuu sisi mi ni kataa ndoa, japo chaputa ni ka subsidiary ndani yetu πSawa wazee wa CHAPUTA. Mna hoja. π
Nitumie namba yake ,tupime kama na yeye sio mcharukoπNa wewe huenda uliotea Malaya na mcharuko
Umetisha Sana mkuu πRaisi wa kataa ndoa ni Liverpool VPN
Makamu wa kataa ndoa ni Natafuta Ajira
naibu makamu ni Xi Jinping
Katibu mwenezi ni Intelligent businessman
nadhani waliowahi kua ndani ya ndoa hawawezi kua na fikra kama za ambao mnakataa ndoa hali yaku hamjaawahi kuingia huko.Umekariri upande huo tu naona,
Kuna watu wenye uwezo wao walikua ndani ya hizo ndoa,baada ya kutendwa wakaona ndoa ni utapeli na ni mateso yakujitakia,
Fikiria nje ya box kijana,elewa mada na comment zangu kwa akili huru.
HaiwezekaniNitumie namba yake ,tupime kama na yeye sio mcharukoπ
Wengine tunapiga mala moja kwa wikiSawa wazee wa CHAPUTA. Mna hoja. π
Sijaelewa ko kama ulikuwa hanithi, wewe ndio uli olewa au ?πHanithi ndani ya ndoa mkuu
Haiwezekani mimi kumshawishi au wewe kutumaπHaiwezekani
Ukweli lazima usemwe, pumba na mchele vitenganishweπUmetisha Sana mkuu π
Wengine tunapiga mala moja kwa wiki
Nilikuwa vizuri kipindi naoa then hali ikaja nikiwa tayari Nina mke na watoto na nimeponaSijaelewa ko kama ulikuwa hanithi, wewe ndio uli olewa au ?π
Hajihamini uyuHaiwezekani mimi kumshawishi au wewe kutumaπ
Na kiufupi hauna kabisa πHaiwezekani
Au sio πUkweli lazima usemwe, pumba na mchele vitenganishweπ
Mzee wa kupanic sema nenoπAu sio π