Ndoa hata sio kamari,, ni kufanya chaguo sahihi kwa wakati sahihi..hahaha sio magumu ni vile nime jionea maajabu huku, sema una jaribu kukwepa tu.
ko una maanisha ndoa ni kama mchezo wa kamari, ucheze na amani yako, muda wako, uhuru wako ukale ndonga nzito 😅😂.
Mzee wa kupanic sema neno😅
[/QUOTE
Kupanic juu ya nini?
Bora niendelee kua member wa chaputa maqe bro wangu kaoa akiomba show anapewa kwa mashartBado ni wanachama wa CHAPUTA. Hata ukipiga masta mara moja kwa mwezi, bado unawajibika kwenye chama cha CHAPUTA mkuu. Kujichukulia sheria mkononi.
Mimi namtaka wa hivi , nakumbuka niliwahi kuwa na demu mlevi tuliendana sana , walokole ni takataka kabisa🚮Ndoa hata sio kamari,, ni kufanya chaguo sahihi kwa wakati sahihi..
Sasa wewe ukichagua demu anakunywa brutal kumi halewi wala habanwi na mkojo!!!! Pembeni anavuta shisha inatokea mdomoni na puani huku anaruka sarakasi juu ya meza kama paka aliekosa chakula unategemea nini!!!???
Hata kwenye kamari wakamaria huwa wanamvizia muhindi wasifirisike na hujitahidi kuchagua kamari nzuri na inayofaa ili aweze kupata mpunga wake
Bora niendelee kua member wa chaputa maqe bro wangu kaoa akiomba show anapewa kwa mashart
Ndio unatakiwa uache kujadili jambo usilolijua kwa kudhani,mpaka hapo umejionyesha kua unachangia mada kwa kudhani tu na sio kwa kujua,nadhani waliowahi kua ndani ya ndoa hawawezi kua na fikra kama za ambao mnakataa ndoa hali yaku hamjaawahi kuingia huko.
Ndoa ni zaidi ya kua na uwezo kijana,kuna matajiri wengi tu wameingia kwenye migogoro na ndoa zikawashinda na hawana tena hamu ya kurudi huko.na wengi hujifanya wanakataa ndo kumbe hawana uwezo wa kua kwenye ndoa
Halufu ukute hii ni I'd ni ya mbaba mwenye kipara kabsa😅Mimi hanithi sijui lolote wakubwa😃
Hivi walokole tulishakuudhi nini wewe?Mimi namtaka wa hivi , nakumbuka niliwahi kuwa na demu mlevi tulienda sana , walokole ni takataka kabisa🚮
Waache wajichanganye tu😁Halufu ukute hii ni I'd ni ya mbaba mwenye kipara kabsa😅
Uko sawa kabisa,, kwa wa hivi sasa ndo uchague chaguo sahihi.Mimi namtaka wa hivi , nakumbuka niliwahi kuwa na demu mlevi tulienda sana , walokole ni takataka kabisa🚮
Naaunga hoja mwili mzima!Raisi wa kataa ndoa ni Liverpool VPN
Makamu wa kataa ndoa ni Natafuta Ajira
naibu makamu ni Xi Jinping
Katibu mwenezi ni Intelligent businessman
Siku hizi wenye vipara akili zao ni ndogoHalufu ukute hii ni I'd ni ya mbaba mwenye kipara kabsa😅
JF akuna mlokoleHivi walokole tulishakuudhi nini wewe?
Walokole wengi ni wanafki, Malaya roho mbaya waliojificha kwenye ulokole.Hivi walokole tulishakuudhi nini wewe?
Kidumu chama Cha kataa ndoa.Ushauri mzuri huu, Asante kiongozi wetu😃
Walokole kuleni chuma hichoo 😅Walokole wengi ni wanafki, Malaya roho mbaya waliojificha kwenye ulokole.
Wanamiliki magonjwa yasiyo na tiba na kuambukiza wengine kwa kivuri cha ulokole na kupata uponyaji.
Kama wewe ni mlokole ulie safi hongera na uwe balozi mzuri
Manena 😅Siku hizi wenye vipara akili zao ni ndogo