Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Pokea maua yako mjukuu 🌹

Umejua kutoa viashiria vya kuzingatiwa kwa vijana waoaji na waolewaji
 
Ndoa kilio nenda waulize wenzio, ikikukaba husiki au kutaka loloteπŸ˜…
Mwenzio huyu kenge wangu tunajuana... Dishi langu analijua vizuri
Ndoa kilio nenda waulize wenzio, ikikukaba husiki au kutaka loloteπŸ˜…
Yaani nikimfuma hatuachani hilo vagi lake mchepuko ataondoka tu. Nikifuma kila siku napita na mauzo nikimkuta baa hilo vulumai lake napasua meza atalipa na nyumbani tunaenda mizagamuo kama yote. Mwenzio mie nimepiga muhuri wa kuachwa kwa kifo tu. Nimevumilia sasa nakula matunda ya ndoa hayanikabi na hatoki mtu hapa.
 
Labda hawa vijana Wana dunia Yao ambayo hatuijui.
Tunaelekea huko,, ndoa itakuja kuwa vita kama Iran na Israel
 
Well well well, you are my mentor now onwards πŸ’…πŸ’ƒπŸ½
 
Mimi ni balozi mzuri shida kuna muda najisahau nalewa sana dadaπŸ˜“
Kulewa si dhambi,, hiyo ni starehe kama kula biriyani vile.
shida kijana akiingia huko sijui na ubongo wananyofoa?????
Kuna kijana wa dada yangu marehemu anataraji kuoa na mchungaji wao anasema hakuna haja ya vipimo kwa Mungu wao hakuna magonjwa!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…