Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

UNAUNGA MKONO VIJANA WAENDELEE KUOA?

  • Total voters
    140
Mnajifariji tu na hizo ndoa za kitapeli, kuoiga kura ni ushabiki tu hivyo uhalisia haupingwi kwa kura. NDOA NI UTAPELI, KATAA NDOA KWA AFYA YAKO.
 
Ndoa ni

πŸ”ΈHasara kiuchumi
πŸ”ΈMagonjwa
πŸ”ΈKifo
 
Mimi sitaki wanangu waje kuingia kwenye maujinga haya ya ndoa....
 
Nauliza swali hii kataa ndoa maana ake si unaishi na mwanamke ila hauoi au? maana tunahitaji watoto na mtu wa kuongea nae,

Ela zikiwa nyingi halafu uko peke yako hakuna watu wa kuzitumia linakuwa tatizo hilo
 
Unakuwa na watoto wako mkuu ila haufugi mtoto ya mtu , unapiga na kutembea
 
Aisee...inachekesha..πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…