Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

UNAUNGA MKONO VIJANA WAENDELEE KUOA?


  • Total voters
    140
Mimi nakataa wasione kwasababu ndoa inafungwa leo baada ya wiki mbili wametengana hapo hakuna ndoa zaidi ya kusumbua Wachungaji na Mapadri kila uchao wakae hivyo wapigane miti wazae. Hii ya kumchezea MUNGU hapana.
 
Kataa ndoa twende Pattaya na viwanja vingine vya dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…