Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Ndani ya hizi siku chache kumeripotiwa matukio mbalimbali yanayosikitisha Na kutia huzuni, matukio hayo yamekuwa yakitokea ndani ya wana ndoa...Sasa vijana wa kataa ndoa naona wanaongoza kwa points tatu huku wakishangilia kwelikweli ushindi wakoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna jamaa huko amepigwa watoto watatu sio wake

Mwingine amekatazwa na wife asionane na marafiki zake.

Mke amemuua mume wake huko Moshi
 
Ni kweli, lakini Mungu sio mbaguzi hutubariki kila mmoja, unahisi kwanini Mungu anaruhusu wengine kupata mwenza atakae muoa na atampitisha katika mapito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…