Mo pal-mo
Senior Member
- Jan 16, 2021
- 182
- 253
Unaposoma kitabu lazima ujue mtazamo wa mwandishi ni upi. Usitegemee kitabu kilichoandikwa na Mhaya kiwasifie wachaga.kuna kitabu nilisoma kinasema mwanaume aliyeoa akizeeka anakua na furaha kuliko ambae hajaoa