Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Ndani ya hizi siku chache kumeripotiwa matukio mbalimbali yanayosikitisha Na kutia huzuni, matukio hayo yamekuwa yakitokea ndani ya wana ndoa...Sasa vijana wa kataa ndoa naona wanaongoza kwa points tatu huku wakishangilia kwelikweli ushindi wako😀😀😀😀
 
Kuna jamaa huko amepigwa watoto watatu sio wake

Mwingine amekatazwa na wife asionane na marafiki zake.

Mke amemuua mume wake huko Moshi
 
Kuna wakati binadamu anavyopata mwanamke bora na kuishi naye vizuri, anaona wenzake ni maboya sana hawajui kuchagua wanawake bora. Ukipata mwanamke bora mshukuru Mungu sana sio kwa uwezo wako ni Neema tu umepata. Tuendelee kumuomba Mungu aingilie kati suala la ndoa na Mahusiano.
Ni kweli, lakini Mungu sio mbaguzi hutubariki kila mmoja, unahisi kwanini Mungu anaruhusu wengine kupata mwenza atakae muoa na atampitisha katika mapito
 
Back
Top Bottom