Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Mkuu, sema ulikata tamaa mapema mno, ungeongeza jitihada kidogo tu ilkuwa KOMBE LINABAKI UKAWA. Ona sasa ulivyoharibu kuanzia kipnd hlo hadi leo wajomba c wangkuwa lasaba[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Sasa wenzio wanataka 50/50 hio ni equality
Haipaswi kuwa hivyo. Ni kosa.

Mimi nikikutana na wanawake wa aina hiyo wahakikishe wanaweza walea watoto kama mwanaume alafu mi nimetulia tu nawazoom. Sichapi Wala sifanyi chochote, atanyooka, sipendagi upuuzi.
 
Nimeandika mwanaume amzidi kwa akili maana yake na mwanamke awe nazo.

Ni kama darasani tu, kuna IQ ya 200, 160, 130 ila isiwe chini ya 115.
Sawa mkuu ila haya maisha ya ndoa hayatabiriki kiasi cha kuyaona n hatari kiasi hicho pia hayo ya kupinga ndoa nayo hayana uhakika wa kuinjoi 100%
 
Mkuu, Kitini kipo vizuri ile vizuri, kama ingekuwa mada ndo paper la U.E kwenye kibomu ningezama na hii NONDO.[emoji23][emoji23][emoji23]

Mwakani nikifikiria kuhusu KUOA, nitapia hii comment kama ambavyo nikikataa NDOA nitaipitia tena vizuri. Kikubwa kuacha bachelor na kuchukua masters[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa mkuu ila haya maisha ya ndoa hayatabiriki kiasi cha kuyaona n hatari kiasi hicho pia hayo ya kupinga ndoa nayo hayana uhakika wa kuinjoi 100%
Kweli ndoa hazitabiriki ila unaweza aamua ndoa yako iwe ya furaha au iwe ya kuzimu.

Sikuzote oa mwanamke anayekupenda basi, utaenjoy. Ila ukioa mwanamke asiyekupenda , kakupenda kisa hela zako au status, siku status na hela zitakapoondoka, na yeye anasepa. Njia rahisi kujua hili, ni kumjaribu mpenzi wako kuacha kuwa provider alafu mwambie una matatizo uone, akikughost unampiga chini.
 
Sio lazima kudanganya.
Hapa unamset mwanamke ajione kama vile ana uhuru fulani ila unamtawala indirectly.

Unaweka sheria , akizivunja ni kwaheri , unaonyesha no nonsense approach since day one.
Fundi wa kudanganya usipokua fundi anakupanda kichwani na unaambiwa akili za Mwanamke ni Mara 2 ya Mwanaume yaan unapoambiwa 'ishi nae kwa akili' usichukulie kawaida labda akupende kiasi Cha kukuzaa
 
Hii mbinu ya kujaribu sio kabisa unaweza pishana na mtu sahihi wa maisha yako
 
Kwahyo ukiwa na maokoto pekee ndiyo trigger ya ndoa mkuu?
Ahahah mkuu that was just a joke, kwa kwel sijui trigger but nimeona makala moja inasema love is a choice not a feeling, so mtu ukiamua kujicommit kwa mtu unaeona anakufaa the Go ahead.
 
Fundi wa kudanganya usipokua fundi anakupanda kichwani na unaambiwa akili za Mwanamke ni Mara 2 ya Mwanaume yaan unapoambiwa 'ishi nae kwa akili' usichukulie kawaida labda akupende kiasi Cha kukuzaa
Akili za mwanamke sio mara mbili ya mwanaume sema ana ubongo mkubwa mara mbili ya mwanaume.

Kuwa na ubongo mkubwa haimaanishi ana akili kubwa. Most of the world breakthrough inventions zimefanywa na wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…