Katambi amepotoka, anahitaji toba

Katambi amepotoka, anahitaji toba

Maneno ya katambi ni maneno ya mtu aliyeshiba,mtu akishiba uamini aliyelala njaa ni mvivu.
Mpanda daladala uamini mtembea kwa miguu kwa ukosefu wa nauli ni mvivu
 
Serikali ndio chanzo cha ukosefu wa ajira nchini,kwa kutotengeneza mifumo sahihi ya vijana wazitumie fursa.
Mbona vijana watokao nje ya nchi wao uziona fursa utajirika na kuondoka.
 
Domo chai jaba.naye anasimanga wavuja jasho ili wachukue ushuru alipwe mshahara. Hivi huyu Mpumbavu Kuna vijana anawalisha kila siku mpaka aongee Upumbavu?
 
Yeye aliwahi kuponda kokoto ? Je aliwahi kusukuma toroli ? MTU hawezi kufanya kazi asiyoimudu kuifanya, kazi zingine zinahitaji maguvu mengi na kazi nyingine zinahitaji akili nyingi ndio maana kila mtu anafanya kazi anayoiweza, kama siasa inahitaji maneno mengi !!
Yeye mwenyewe kaajiriwa na SSH unategemea jipya hapo?
 
Daah... hii mentality ya ovyo sana. Ifike mahali hawa wawe waajiriwa wa wananchi kwa maana wateuliwe lakini kuwepo na muhimili wa Bunge la wananchi kuwaidhinisha.

Bwana PGO ni hatari kusubiria waliovimbiwa madaraka ya kulevya watubu wenyewe! Hawawezi kutubu wakiwa na vyeo vyao... Ifike mahali tuwe na Katiba inayowapa wananchi nguvu ya kuwashurutisha wajiuzulu. Katambi ametukosea sana. Amekosa sana tena zaidi ya Job Ndugai.

Kweli kabisa katukosea adabu.
 
Anadanganya uma kuwa serikali huwa inatoa ajira kwa wingi sana tatizo ni vijana wanachagua kazi!🤡🤡🤡
 
Duh. Asubuhi yote hii unaandika upumbavu? Chadema inaingiaje sasa hapo?
Bwana PGO
Chadema Inaingia direct kama mleta topic ulivyojipambanua.
Tunawajua team ROHO MBAYA, thread zenu za visasi tupu.

Tumeliona lile kubwa J la kule Tarime lilivyokimbilia kupost clip ya ujinga mtupu.
Ili tu kumpinga au kumchonganisha katambi na jamii.

Hii nguvu kubwa mnayoitumia kufitinisha watu, mngeitumia kwa kujenga sera na hoja zenye manufaa kwa chama chenu.

Kumsakama JPM,(ambaye tayari amekwisha tangulia mbele za haki)
Zitto,Makonda,Katambi,Mdee na kundi lake,Waitara, Ndugai na wengine woote mliowaweka kwenye list yenu ya visasi.

Hakuwaongezei Political mileage yoyote zaidi ya kuzidi kuwashushia hadhi kwenye jamii ya watanzania kwa kiasi kikubwa sana.

Huu ni mwaka wa pili tu mko kijiweni na mnazidi kupuyanga kwa kurukia rukia matukio.

Chadema mmepoteana ile mbaya.

Acheni visasi...mtu akihama chama sio uadui ni kwamba ametumia haki yake ya kufanya maamuzi.

Siasa haina adui wa kudumu kama Chadema mnavyoishi bali mjifunze kwa wakenya.

Kila mkiamka....ni kusakama wale mnaowaona kama vile wamechangia kuwafikisha hapo kijiweni.

Acheni hizooo!

Unajiita
PGO...Hii slogan yenu kule mahakamani tunaijua pia...
Nyumbu Work [emoji42]
IMG-20220116-WA0012.jpg
 
View attachment 2084705
Kwa hiyo CHADEMA imemtuma waziri aongee hivyo?
 
Chadema kazi yenu ni kurukia rukia matukio mpaka mnakera.

Mmekuwa kama wake wenza, sio kwa gubu hilo.

Mnakonda shauri ya ROHO MBAYA!

Wananchi wanataka sera na hoja mbadala zenye mashiko ili kuwashawishi kuukataa utawala ulioko madarakani.

Nyinyi kila uchao mmekalia umbeya na Bhangi tu.
 
Umeandika kwa hisia kuliko uhalisia, tujadili kauli yake sio kuleta mjadala nje ya mada
 
Chadema kazi yenu ni kurukia rukia matukio mpaka mnakera.

Mmekuwa kama wake wenza, sio kwa gubu hilo.

Mnakonda shauri ya ROHO MBAYA!

Wananchi wanataka sera na hoja mbadala zenye mashiko ili kuwashawishi kuukataa utawala ulioko madarakani.

Nyinyi kila uchao mmekalia umbeya na Bhangi tu.
Kwa hiyo CHADEMA wamesababisha ajira hakuna?
 
Back
Top Bottom