OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
akapige mswaki kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema chochote mkuuInasikitisha sana...
Yeye mwenyewe kaajiriwa na SSH unategemea jipya hapo?
Daah... hii mentality ya ovyo sana. Ifike mahali hawa wawe waajiriwa wa wananchi kwa maana wateuliwe lakini kuwepo na muhimili wa Bunge la wananchi kuwaidhinisha.
Bwana PGO ni hatari kusubiria waliovimbiwa madaraka ya kulevya watubu wenyewe! Hawawezi kutubu wakiwa na vyeo vyao... Ifike mahali tuwe na Katiba inayowapa wananchi nguvu ya kuwashurutisha wajiuzulu. Katambi ametukosea sana. Amekosa sana tena zaidi ya Job Ndugai.
Kweli kabisa katukosea adabu.Daah... hii mentality ya ovyo sana. Ifike mahali hawa wawe waajiriwa wa wananchi kwa maana wateuliwe lakini kuwepo na muhimili wa Bunge la wananchi kuwaidhinisha.
Bwana PGO ni hatari kusubiria waliovimbiwa madaraka ya kulevya watubu wenyewe! Hawawezi kutubu wakiwa na vyeo vyao... Ifike mahali tuwe na Katiba inayowapa wananchi nguvu ya kuwashurutisha wajiuzulu. Katambi ametukosea sana. Amekosa sana tena zaidi ya Job Ndugai.
Madaraka ya kulevyaa...Yeye amewahi kujiajiri kwenye nini
ni kawaida yako kuungana na vilaza wa kufikirinataka kuungana na Naibu Waziri kuna baadhi ya vijana wana hiyo kasumba
ni kawaida yako kuungana na vilaza wa kufikiri
Bwana PGODuh. Asubuhi yote hii unaandika upumbavu? Chadema inaingiaje sasa hapo?
Kwa hiyo CHADEMA imemtuma waziri aongee hivyo?Bwana PGO
Chadema Inaingia direct kama mleta topic ulivyojipambanua.
Tunawajua team ROHO MBAYA, thread zenu za visasi tupu.
Tumeliona lile kubwa J la kule Tarime lilivyokimbilia kupost clip ya ujinga mtupu.
Huu ni mwaka wa pili tu mko kijiweni na mnazidi kupuyanga kwa kurukia rukia matukio.
Chadema mmepoteana ile mbaya.
Acheni visasi...mtu akihama chama sio uadui ni kwamba ametumia haki yake ya kufanya maamuzi.
Siasa haina adui wa kudumu kama Chadema mnavyoishi bali mjifunze kwa wakenya.
Kila mkiamka....ni kusakama wale mnaowaona kama vile wamechangia kuwafikisha hapo kijiweni.
Acheni hizooo!
Unajiita
PGO...Hii slogan yenu kule mahakamani tunaijua pia...
Nyumbu Work [emoji42]
View attachment 2084705
Chadema kazi yenu ni kurukia rukia matukio mpaka mnakera.Kwa hiyo CHADEMA imemtuma waziri aongee hivyo?
Umeandika kwa hisia kuliko uhalisia, tujadili kauli yake sio kuleta mjadala nje ya madaBwana PGO
Chadema Inaingia direct kama mleta topic ulivyojipambanua.
Tunawajua team ROHO MBAYA, thread zenu za visasi tupu.
Tumeliona lile kubwa J la kule Tarime lilivyokimbilia kupost clip ya ujinga mtupu.
Ili tu kumpinga au kumchonganisha katambi na jamii.
Hii nguvu kubwa mnayoitumia kufitinisha watu, mngeitumia kwa kujenga sera na hoja zenye manufaa kwa chama chenu.
Kumsakama JPM,(ambaye tayari amekwisha tangulia mbele za haki)
Zitto,Makonda,Katambi,Mdee na kundi lake,Waitara, Ndugai na wengine woote mliowaweka kwenye list yenu ya visasi.
Hakuwaongezei Political mileage yoyote zaidi ya kuzidi kuwashushia hadhi kwenye jamii ya watanzania kwa kiasi kikubwa sana.
Huu ni mwaka wa pili tu mko kijiweni na mnazidi kupuyanga kwa kurukia rukia matukio.
Chadema mmepoteana ile mbaya.
Acheni visasi...mtu akihama chama sio uadui ni kwamba ametumia haki yake ya kufanya maamuzi.
Siasa haina adui wa kudumu kama Chadema mnavyoishi bali mjifunze kwa wakenya.
Kila mkiamka....ni kusakama wale mnaowaona kama vile wamechangia kuwafikisha hapo kijiweni.
Acheni hizooo!
Unajiita
PGO...Hii slogan yenu kule mahakamani tunaijua pia...
Nyumbu Work [emoji42]
View attachment 2084705
Anaacha kujadili upuuzi wa mwenzie anarukia issues nyingineKwa hiyo CHADEMA imemtuma waziri aongee hivyo?
Kwa hiyo CHADEMA wamesababisha ajira hakuna?Chadema kazi yenu ni kurukia rukia matukio mpaka mnakera.
Mmekuwa kama wake wenza, sio kwa gubu hilo.
Mnakonda shauri ya ROHO MBAYA!
Wananchi wanataka sera na hoja mbadala zenye mashiko ili kuwashawishi kuukataa utawala ulioko madarakani.
Nyinyi kila uchao mmekalia umbeya na Bhangi tu.
Chadema wamesababisha unyumbu kwa wafuasi wao.Kwa hiyo CHADEMA wamesababisha ajira hakuna?