Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

Yaani maCCM bila kuitaja CHADEMA hayaridhiki na hayana mvuto.
CHADEMA hawashiriki huo uchaguzi, lakini CCM wako busy kuishutumu CHADEMA. Hii inatupa picha kubwa kuwa, CHADEMA ni tishio kubwa la kisiasa hapa Tz, hata kivuli chake kinatosha kuisambaratisha mapema sana CCM.
 
Kwa Tume hii ya uchaguzi unasema unakimbia uchaguzi!.2020 ulikuwa uchaguzi au uchafuzi.

ACT ni mshirika tangu kitambo hicho si chama cha upinzani ni chama mshirika wa CCM.So huo uchaguzi ni uchaguzi baina ya CCM na CCM.
Kwanini msiende ili dunia ione hii regime ya Samia kama itawahujumu?

Chadema inajimaliza yenyewe msilaumu CCM,CCM tunaelewa umuhimu wa upinzani na tunataka uwepo kwa umadhubuti wa CCM yetu
 
Shetani ni muhimu kutajwa madhabahuni
 
Msamehe mkuu Sisi ni Watanzania hatuna haja ya kugombana,

Ila Uchumi wetu umeimarika sana kidunia na kikanda nadhani ndio sababu jamaa amepaniki ulivyomwambia uchumi umedorora jambo ambalo si la kweli
Hoja yako ni tusi, kama haukubaliani na mimi hauna sababu ya kunitukana, haulazimiki kujibu kila hoja na laiti tungekutana uso kwa uso usingenitukana.
 
Wewe hata kuandika tu hujui masikini ya mola!
 
Lakini tufike mahali tujitambue kwa hiyo cherehani hiyo tumbaku ya ushetu ndoo inambeba aiseeeeeeee
 

Katambi kati ya wanasiasa vijana bora sana Tanzania
Mungu amtuze afike mbali
 
Kwani chadema mbona takataka tu
 
Sio tuu kususia kwanza ni chama chenye njaa kinachoongozwa na genge la wasaka madaraka wakifadhiliwa na magenge ya Wahuni huko Ulaya.

Kuwapa madaraka watu kama Hawa ni hatari kwa ustawi wa Taifa na watu wake.
 
Kwanini msiende ili dunia ione hii regime ya Samia kama itawahujumu?

Chadema inajimaliza yenyewe msilaumu CCM,CCM tunaelewa umuhimu wa upinzani na tunataka uwepo kwa umadhubuti wa CCM yetu
Chakademus ilishakufwa

Zimebaki story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…