Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

Why daily mnaizungumzia CDM. Fanyeni siasa bila polisi ama hao MADED ndio mtajua nini maana ya siasa yaani mnapigwa peupe na alfajili. CCM bila Polisi na Tume fake hakuna ushindi.
Hata Samia na Shaka wake na CCM nzima wanalijua hilo. Ukigusa tu kuwaondoa MADED kwenye uchaguzi hawataki, ukisema Tume huru hawataki, lakini wanatamba mitaani eti hakuna wa kuishinda CCM kwenye uchaguzi.
 
Chadema hawapo kwenye huu uchaguzi lakini kampeni yenu yote inaongelea chadema. Ccm imeishiwa kabisa mbinu na maarifa
 
Wana ccm / watawala wanajua kuwa cdm ndiyo muhimili wa siasa hapa Tanzania.
Mimi huwa nawashangaa wanaCCM, kila kukicha wao ni Chadema, Chadema. Kule sijui Ushetu Chadema haina mgombea lakini majukwaa ya CCM yanaizungumzia Chadema. Sijui wana matatizo gani CCM? Wakiachiwa wagombee wenyewe shida, Chadema ikiweka mgombea wananoa mapanga kuchinja watu na kukimbia na masanduku ya kura.
 
Huo ndiyo udhalimu wa ccm kwa wana cdm.

Yaani ccm wameifanya siasa kama kichaka cha chuki dhidi ya chadema.
 
Safi sana Katambi, Pull it up
 
Hata Samia na Shaka wake na CCM nzima wanalijua hilo. Ukigusa tu kuwaondoa MADED kwenye uchaguzi hawataki, ukisema Tume huru hawataki, lakini wanatamba mitaani eti hakuna wa kuishinda CCM kwenye uchaguzi.
Kuwepo na Tume huru, ambayo itaongozwa na vyama vyote CCM wajuta na ndio utakuwa mwisho wao. Ww fikiria 2020 ule ulikuwa uchaguzi ama kituko! Lakini pamoja na yoote hayo mtu alipelekwa mbio na Lissu mpaka majibu yakapatikana Machi 17.
 
Chadema brothers hata kama Mbowe awe mkt wa tume hamshindi,

Siasa ni namba chadema hakuna wanachama kunawafuasi tu
 
Chadema brothers hata kama Mbowe awe mkt wa tume hamshindi,

Siasa ni namba chadema hakuna wanachama kunawafuasi tu
CCM ina wanachama?! Kwanini wanaiba kura? Kwanini wanapika data za uongo kushirikiana na Tume.
 
Kuwepo na Tume huru, ambayo itaongozwa na vyama vyote CCM wajuta na ndio utakuwa mwisho wao. Ww fikiria 2020 ule ulikuwa uchaguzi ama kituko! Lakini pamoja na yoote hayo mtu alipelekwa mbio na Lissu mpaka majibu yakapatikana Machi 17.
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Ilijioverdoze akachoka cov ikasukuma tu kama mlevi
 
Unafiki na uwongo uliokithiri sijui unawapa nini CCM.

Eti Katambi ana ushawishi.

Kwenye kura za maoni alipata kura 3, huku Masele akipata zaidi ya kura 300. Lazima uwe mwendawazimu hasa kuamini mtu anayepata kura 3 eti ana ushawishi.

Sishangai kauli hizi za unafiki maana TWAWEZA walikwishasema kuwa wajinga wamejaa CCM.
 
Uwanja wenu MÀTAGA,
Kwani mshiruka mwenzenu Zitto anasemaje?
 
Ushawishi unaweza kuwa nje au ndani ya chama mkuu, Sijambo baya kama mtu anakuwa na ushawishi
 
Kwani huko ushetu mnashindana na Nani?
 
Ndo maana CCM watu timamu wanawadharau Sana n kuona ni kama chadema walishawamaliza Ila mnasaidiwa na tume na polisi.
SAsa angalia hii thread yako vyama vinavyoshiriki uchaguzi ni ACT na CCM lakini mbumbu WA CCM hamna habari na mpinzani wenu ACT Ila mko busy na chadema ambao hawako kwenye uchaguzi maana yake ni nini ni kwamba mti wenye matunda mengi ndo hurushiwa mawe. Sisi huku tuko busy na chadema digital, Katiba mpya, tume huru kwahiyo tuacheni aisee.

Mbowe si gaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…