Ninachojiuliza na kushangaa sana kwa Tume, na polisi, hivi huyu mtu anaitwa Lissu hajajenga Fryover, hajanunua ndege,hajajenga jengo lolote la kiserikali, hajazindua mradi wowote kwa mbwembwe hana kwanza hiyo nafasi, hajajenga barabara hata robo mita tu, Lakini!!Lakini!!! Jamaa anawasumbua vibaya mnoo!! Kila sehemu akienda nyomiii!! Kila anapopita haitwi Lissu bali ni Raisi!! Hii inawauma sana ccm hilo tinafahamu ila kiukweli jamaa anapendwa na raia huo ndio ukweli maana katika mikutano yake yote hakuna tisheti za bure zinazogawiwa, maana kwanza chama hakina pesa za kufanya hivyo watu wanaenda kwa miguu yao na kwa ridhaa yao sio kufatwa fatwa na kupewa tisheti na kabuku 10 kama maji kama wafanyavyo upande wa pili.Kweli mzee baba umetisha. Mwaka ni wako huu.