Ukoo wako wote kamwe kwa pamoja hawatapata mali hiyo, na wewe utakufa ukiwa bado scavenger.Nimesoma mpaka form 2 natumia sim ya Milion mbili na laki 7 Nina gar 3 nyumba mbili mirad 6 Nina wafanya kazi 78 wote nawalipa na Nina miaka 27tu mkuu sijaajiriwa na mtu una la kuuliza Tena?
Haya mambo inategemeana na Imani ya mtu, kwa Wakristo kujiua kwa sababu iwayo yote Ile is a fatal mistake, Kwa waislam kwao ni Sawa for some reason.Umesoma mpaka darasa la ngapi? Unatumia simu ya aina gani?
Si alikua mfuasi wa CHADEMA? Mbona hawakumsomesha?Kinachosikitisha ni kuwa huyo mama ameshindwa kumsomesha mwanaye na mwanaye kwa uchungu mkubwa anaona ni kutokana na sera mbovu za CCM ameona ujinga uliokithiri kutoka kwa mama yake mzazi.
Mwanao alikuwa na ndoto ya kusoma ila kutokana na ufukara wako umeshindwa kumsomesha na bado unaunga mkono CCM. Acha kijana aondoke maana amekosa tumaini kutoka kwako ukiwa kama mzazi!
Lissu hajanunua hata msumari wa kujengwa choo lkn anapendwa mpk mgombea wa ccm anakata pumziNinachojiuliza na kushangaa sana kwa Tume, na polisi, hivi huyu mtu anaitwa Lissu hajajenga Fryover, hajanunua ndege,hajajenga jengo lolote la kiserikali, hajazindua mradi wowote kwa mbwembwe hana kwanza hiyo nafasi, hajajenga barabara hata robo mita tu, Lakini!!Lakini!!! Jamaa anawasumbua vibaya mnoo!! Kila sehemu akienda nyomiii!! Kila anapopita haitwi Lissu bali ni Raisi!! Hii inawauma sana ccm hilo tinafahamu ila kiukweli jamaa anapendwa na raia huo ndio ukweli maana katika mikutano yake yote hakuna tisheti za bure zinazogawiwa, maana kwanza chama hakina pesa za kufanya hivyo watu wanaenda kwa miguu yao na kwa ridhaa yao sio kufatwa fatwa na kupewa tisheti na kabuku 10 kama maji kama wafanyavyo upande wa pili.Kweli mzee baba umetisha. Mwaka ni wako huu.
Wajinga wengi sana nchi hii.Kinachosikitisha ni kuwa huyo mama ameshindwa kumsomesha mwanaye na mwanaye kwa uchungu mkubwa anaona ni kutokana na sera mbovu za CCM ameona ujinga uliokithiri kutoka kwa mama yake mzazi.
Mwanao alikuwa na ndoto ya kusoma ila kutokana na ufukara wako umeshindwa kumsomesha na bado unaunga mkono CCM. Acha kijana aondoke maana amekosa tumaini kutoka kwako ukiwa kama mzazi!
R.I.P KamandaNi ngumu kuamini sababu hiyo pekee ndio iliyopelekea jamaa ajinyonge.
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Ninachojiuliza na kushangaa sana kwa Tume, na polisi, hivi huyu mtu anaitwa Lissu hajajenga Fryover, hajanunua ndege,hajajenga jengo lolote la kiserikali, hajazindua mradi wowote kwa mbwembwe hana kwanza hiyo nafasi, hajajenga barabara hata robo mita tu, Lakini!!Lakini!!! Jamaa anawasumbua vibaya mnoo!! Kila sehemu akienda nyomiii!! Kila anapopita haitwi Lissu bali ni Raisi!! Hii inawauma sana ccm hilo tinafahamu ila kiukweli jamaa anapendwa na raia huo ndio ukweli maana katika mikutano yake yote hakuna tisheti za bure zinazogawiwa, maana kwanza chama hakina pesa za kufanya hivyo watu wanaenda kwa miguu yao na kwa ridhaa yao sio kufatwa fatwa na kupewa tisheti na kabuku 10 kama maji kama wafanyavyo upande wa pili.Kweli mzee baba umetisha. Mwaka ni wako huu.
Hahahah naitwa boss asubui Mchana na usiku mwisho wa mwezi mimi ni kimbilio Sasa nyie kaen na njaa zenu mpaka mjinyonge.Ukoo wako wote kamwe kwa pamoja hawatapata mali hiyo, na wewe utakufa ukiwa bado scavenger.
Utopolo wa Diwani DGI baada ya kufokewa Sana na jiwe wiki jana kwamba hafanyi kazi yake sawa sawa.View attachment 1588976 mtajiua sana mwaka huu [emoji3][emoji3]
Unakumbuka ya Busega?Mbona anazomewa kila kona, kule makao ya makuu ya Chadema alizonewa kidogo ashuke jukwaani
Utopolo huu uneandaliwa na DGI Diwani. Hauna mashiko tenaView attachment 1588976 mtajiua sana mwaka huu [emoji3][emoji3]
Hata sis tunacho jiuliza Hawa vijana wa ufipa anae wapa bangi ni Nan mana Wana tukana wao mwisho wa siku Wana jidhuru wao.Ninachojiuliza na kushangaa sana kwa Tume, na polisi, hivi huyu mtu anaitwa Lissu hajajenga Fryover, hajanunua ndege,hajajenga jengo lolote la kiserikali, hajazindua mradi wowote kwa mbwembwe hana kwanza hiyo nafasi, hajajenga barabara hata robo mita tu, Lakini!!Lakini!!! Jamaa anawasumbua vibaya mnoo!! Kila sehemu akienda nyomiii!! Kila anapopita haitwi Lissu bali ni Raisi!! Hii inawauma sana ccm hilo tinafahamu ila kiukweli jamaa anapendwa na raia huo ndio ukweli maana katika mikutano yake yote hakuna tisheti za bure zinazogawiwa, maana kwanza chama hakina pesa za kufanya hivyo watu wanaenda kwa miguu yao na kwa ridhaa yao sio kufatwa fatwa na kupewa tisheti na kabuku 10 kama maji kama wafanyavyo upande wa pili.Kweli mzee baba umetisha. Mwaka ni wako huu.
Unakumbuka ya Busega?
Unakumbuka ya Kagera?
Unajua sabb ya mwenyekiti wa ccm Kagera kufukuzwa uanachama?
Lisu rais hilo halina ubishiVijana wa Chadema washaanza kujinyonga kwa Chadema kukataliwa vipi wewe utajinyonga lini
Itakuwa unaleta masihara. Kuwa serious basi.Hakuna aliyefukuzwa mkuu, kagera yote ni ya Magufuli, busege ndio usiseme
Ila lissu alizomewa hadi Namhurumia kutokana na hali yake ilivyo